Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

RAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA MSIKITI MASJID AL AQSA BAMBI KIJIBWE MTU

$
0
0
IMG_8106Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Wazee wa Kijiji cha Kijibwe Mtu Bambi Wilaya ya kati Jimbo la Uzini Unguja, alipofika kuufungua Msikiti masjid Al Aqsa,uliojengwa kwa ufadhili wa Shekh Khalifa Bin Braik na Sheikh Ehab Hashish,kwa usimamizi wa Mwakilishi
wa Jimbo Hilo Mohamed Raza Daramsi,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.IMG_8116Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama ishara ya ufunguzi wa Msikiti masjid Al Aqsa,katika Kijiji cha Kijibwe Mtu Bambi Wilaya ya kati Jimbo la Uzini Unguja,uliojengwa kwa ufadhili wa Shekh Khalifa Bin Braik na Sheikh Ehab Hashish, kwa usimamizi wa Mwakilishi
wa Jimbo Hilo Mohamed Raza Daramsi,(kulia) [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_8123Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kama ishara ya
ufunguzi wa Msikiti masjid Al Aqsa,katika Kijiji cha Kijibwe Mtu Bambi Wilaya ya kati Jimbo la Uzini Unguja,uliojengwa kwa ufadhili wa Shekh Khalifa Bin Braik na Sheikh Ehab Hashish, kwa usimamizi wa Mwakilishi
wa Jimbo Hilo Mohamed Raza Daramsi,(kulia)[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_8130Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) alipokuwa akiutembelea Msikiti masjid Al Aqsa,katika Kijiji cha Kijibwe Mtu Bambi Wilaya ya kati Jimbo la Uzini Unguja,mara baada ya kuufungua rasmi,msikiti huo umejengwa kwa ufadhili wa Shekh Khalifa Bin Braik na Sheikh Ehab
Hashish, kwa usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo Hilo Mohamed Raza Daramsi,(kulia)       
 [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_8142Wananchi na waislamu waliohudhuria katika Sherehe ya ufunguzi wa Msikiti masjid Al Aqsa,katika Kijiji cha
Kijibwe Mtu Bambi Wilaya ya kati Jimbo la Uzini Unguja,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na kuwapa nasaha
katika kuuenzi Msikiti huo,uliojengwa kwa ufadhili wa Shekh Khalifa Bin Braik na Sheikh Ehab Hashish, kwa usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo Hilo Mohamed Raza Daramsi,(kulia)[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]IMG_8188Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Waislamu na
Wananchi wa Kijiji cha Kijibwe Mtu Bambi Jimbo la Uzini Wilaya ya Kati Unguja leo,wakati wa Ufunguzi wa msikiti Masjid Al Aqsa,uliojengwa kwa ufadhili wa Shekh Khalifa Bin Braik na Sheikh Ehab Hashish, kwa
usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo Hilo Mohamed Raza Daramsi,(kulia)[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>