Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

PICHA ZA HALFA FUPI YA KUMPONGEZA MBWANA SAMATTA HYATT REGENCY

$
0
0
 Serikali immempatia zawadi ya kiwanja na pesa ambazo thamani yake haijajulikana mchezaji bora wa Afrika Mbwana Samatta, Hayo yalisemwa jana na Mgeni Rasmi katika halfa hiyo Waziri William Lukuvi. Sherehe hizo zilifanyika  kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar.
 Waziri wa Michezo Nape Nnauye akiwa na wazazi wa Mbwana Samatta

 Mwakilishi wa Vodacom akitoa neno
 Mchezaji Thomas Ulimwengu akifurahia jambo na mdau.



 Mbwana Samatta akimpa zawadi ya jezi Waziri Lukuvi



Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>