Mbunge wa Bumbuli na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mhe. January Makamba alipoongea na waTanzania waishio DMV katika sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara iliofanyika ndani ya ukumbi wa Ukumbi wa THE FRIENDSHIP CENTER Laurel, Maryland nchini Marekani
Watanzania waishio DMV kwa makini wakimsikiliza Mbunge wa Bumbuli na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mhe. January Makamba alipokua akihutubia katika sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara iliofanyika ndani ya ukumbi wa Ukumbi wa THE FRIENDSHIP CENTER Laurel, Maryland nchini Marekani
Wanajumuiya ya DMV wakimsikiliza Mbunge wa Bumbuli na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mhe. January Makamba alipokua akihutubia katika sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara iliofanyika Siku ya Jumamosi ndani ya ukumbi wa Ukumbi wa THE FRIENDSHIP CENTER Laurel, Maryland nchini Marekani
Mhamasishaji wa sherehe nzima ya Uhuru wa Tanzania Tumaini Kaisi Katule akimakinika kumsikiliza Mbunge wa Bumbuli na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mhe. January Makamba alipokua akihutubia katika sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara iliofanyika Siku ya Jumamosi ndani ya ukumbi wa Ukumbi wa THE FRIENDSHIP CENTER Laurel, Maryland nchini Marekani
Sikiliza Hotuba....Pia Baadhi ya taswira mbali mbali za matokeo tutawaletea katika ukurasa huu huu hapo baadae usikose kuutembelea tena.