Mahakama Kuu Zanzibar imemuachia kwa dhamana Omar Mussa Makame anayetuhumiwa kumuua Padri Evaristi Mushi baada ya kudhaminiwa na wadhamini wawili kwa dhamana ya shilingi laki 5 kila mmoja.Taarifa zaidi zitakujia endelea kuwa nasi
↧