
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Kamishna Mpya wa Polisi Zanzibar Bwana Hamdan Omar Makame aliyefika Ofisini kwake katika jengo la Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mbweni kujitambulisha rasmi baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo.

Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdan Omar Makame akibadilishana mawazo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif hapo Ofisini kwake Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.Picha na Hassan Issa-Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar