Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya VODACOM Tanzania,Rene Meza akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Simu za mikononi ya Airtel Tanzania,Sunil Colaso kwenye hafla ya siku ya kuzaliwa kwake iliofanyika ndani ya viwanja vya ubalozi wa Ufaransa jijini Dar mwishoni mwa wiki.
Marafiki wa Rene Meza wakiwa katika picha ya pozi.
Keki ya birthday
Pichani Shoto ni Mtendaji wa kampuni ya Simu za mikononi ya Airtel Tanzania,Sunil Colaso akiwa sambamba na Mke wake (kulia),kati ni Mke wa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya VODACOM Tanzania,Rene Meza wakiwa katika picha ya pamoja kwenye hafla hiyo iliyofanyika ndani ya viwanja vya ubalozi wa Ufaransa jijini Dar mwishoni mwa wiki.
Wadau Mbalimbali wakipata vinywaji huku wakibadilishana mawazo ya hapa na pale.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya VODACOM Tanzania,Rene Meza akiwakaribishana na kuwashukuru Ndugu jamaa na marafiki mbalimbali waliofika kwenye hafla yake kuzaliwa iliyofanyika ndani ya viwanja vya Ubalozi wa Ufaransa,jijini Dar mwishoni mwa wiki..
Wakiwa katika picha ya pamoja
Wadau wakila na kunywa
Mmoja wa wadau wakubwa wa Rene Meza,Saleh akiwa amepozi na Mkewe.
Rene na akiwa na rafiki yake Saleh wakiwa na sura za furaha
Wakimwimbia wimbo Rene.
Burudani ilitolewa pia
wakifurahia
kwa pamoja wakifurahia kwenye hafla hiyo
Rene akikamua ngoma huku,ndugu jamaa na marafiki (hawapo pichani) waalikwa wakiburudika.
Rene akiwa katika picha ya pamoja na wadau
Wageni waalikwa Wakiendelea kupata vinywaji.