Yametimia polisi wamemakamata mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Iringa (IPC) Frank Leonard (kushoto) ambae ni mwandishi wa magazeti ya serikali wakimtuhumu kupiga picha mahakamani ,hadi sasa amewekwa chini ya ulinzi wa polisi huku kesi ya mtuhumiwa wa mauwaji ya Mwangosi ikiendelea kusomwa. Picha kwa hisani ya Francis Godwin-Iringa.
↧