Kama uliwahi kusikia mkuu wa wilaya ya Bukoba, Bwana Albert Mnali aliyewachapa walimu viboko ni huyo mwenye miwani na koti jeusi (aliyezungushiwa duara jeusi) aliweka historia Tanzania,kipindi hicho alikuwa mkuu wa wilaya ya Bukoba na
taarifa ni kwamba aliwachapa viboko walimu wa shule tatu za Katerero, Kanazi na Kasenene katika mkoa wa Kagera.