
Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Magereza wa Mkoa wa Dar es Salaam ambao wametunukiwa vyeo leo na Tume ya Polisi na Magereza katika Maadhimisho ya Magereza Day. Zoezi hilo la uvishaji Vyeo kwa Maafisa hao umefanyikia katika Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga, Jijini Dar es Salaam(Picha na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).