WABUNGE WA UPINZANI WATOKA NJE YA UKUMBI
PICHA MAKTABA Wabunge wa Kambi ya Upinzani wametoka nje baada Naibu spika kushindwa kutolea ufumbuzi hoja za upinzani na kutaka kuwaburuza baada ya kusimama Tundu Lisu kuuliza muongozo kuhusu kuleta...
View ArticleANGALIA PICHA MBALIMBALI ZA VIONGOZI WETU ENZI HIZO WAKIPIKWA NA WAZEE WETU
Pichani ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Mizengo Kayanza Peter Pinda (wa Kwanza Kushoto) akiwa pamoja na Mbunge wa Simanjiro, Bwana Christopher Ole Sendeka (Wa pili kushoto),...
View ArticleMUSEVENI AWAKUTANISHA RAIS KIKWETE NA KAGAME
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ameitisha mkutano wa dharura wa marais wa nchi za Maziwa Makuu (ICGLR), kujadili hali ya usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.Rais Jakaya Kikwete ni...
View ArticleSAKATA LA AGNESS MASOGANGE. AINGIZWA CHUMBA CHA MATESO ATAJA ALIYE MTUMA...
IMEVUJA! Staa muuza nyago kwenye video za wasanii wa muziki wa kizazi kipya na filamu za Kibongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ na shosti wake, Mellisa Edward kabla ya kupandishwa kizimbani kwa msala wa...
View ArticleHATARI SANA KANG'ATWA USO NA BOSI WAKE!!!
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida mkazi wa Kijiji cha Nyabibuye Kakongo katika Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, Susuluka (16) anadaiwa kujeruhiwa vibaya usoni na bosi wake, Imani Paulo (36) kwa...
View ArticleANGALIA PICHA YA MWIZI AKATWA MKONO
kiganja cha mwizi kilichokatwa na kisha mwiszi kuachiwa aende zakeKijana mmoja ambae hakujuilkana jina lake mpaka anaondoka maeneo ya Buzuruga mjini mwanza aliambulia kukatwa mkono wake baada ya...
View ArticleANGALIA PICHA ZA MATUKIO YA KILICHOJIRI KWENYE KESI YA BILIONEA ALIYEUWAWA...
Watuhumiwa wa kesi ya mauaji ya bilionea wa madini Erasto Msuya,Sharifu Mohamed na Musa Mangu wakiwa mahakamani.Ndugu wa marehemu Erasto Msuya wakiwa mahakamani. Ndugu wa marehemu Erasto Msuya wakiwa...
View ArticleDAKTARI ANASWA AKIMTOA MBIMBA MKE WA MTU NDANI YA JENGO LA CCM
Daktari Afrika Kweka amenaswa akiwa katika jaribio la kumtoa mimba mwanamke aliyejulikana kwa jina moja la Stella.Tukio hilo lilitokea juzikati kwenye chumba kilichopo katika jengo la Chama cha...
View ArticleBill Clinton Touts Health Law in Speech
Former President Bill Clinton speaks on health care in Little Rock, Ark. Mr. Clinton touted the law's benefits and set out arguments for its provisions, but also highlighted glitches and called on...
View ArticleHistoric vote as House debates International Criminal Court withdrawal
And the High Court Wednesday declined to grant orders blocking President Uhuru Kenyatta and his deputy William Ruto from travelling to The Hague for their trials, which have triggered the hostile...
View ArticleObama ‘confident’ of getting Congressional support for Syria strike
U.S. President Barack Obama (2nd R) talks to bipartisan Congressional leaders in the Cabinet Room at the White House in Washington while discussing a military response to Syria, Sept. 3, 2013. U.S....
View ArticleWhite House pushes for Congress’ support on Syria strike
U.S. Senator Lindsey Graham (R) and Senator John McCain (R-AZ) make remarks to the media after meeting with Obama at the White House. The White House battled Monday for congressional authorization to...
View ArticleKENYA KUJIONDOA ICC
Wabunge nchini Kenya wanatarajiwa kukutana kwa dharura hii leo kujadili ikiwa nchi hiyo itajiondoa kwenye mahakama ya kimataifa ya ICC au la.Hatua hii ya wabunge inakuja zaidi ya wiki moja kabla ya...
View ArticleWaziri wa serikali anusurika kifo Misri
Waziri Mohammed IbrahimWaziri wa mambo ya ndani nchini Misri, amenusurika jaribio la kumuua nje ya nyumba yake mjini Cairo.Maafisa wanasema kuwa mlipuko ulisikika na kwamba ulikuwa unamlenga waziri...
View ArticleVisa vya Malaria vyaongezeka Chad
Mwanawe Halima, Salimata anatibiwa MalariaMpango wa dharura unaendelea katika eneo la Salamat nchini Chad baada ya ongezekao la visa vya maambukizi ya Malaria kuripotiwa.Shirika la madaktari wasio na...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AKUTANA NA UONGOZI WA KAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Simu za mkononi Zantel, Pratap Ghose, wakati alipofika...
View Article