TAARIFA YA TAREHE YA KUFUNGUA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA
Kutokana na kikao cha bodi kilicho kaaTarehe (18th May 2013), bodi imefikia maamuzi ya kufungua chuo, hivyo Chuo kitafunguliwa alhamisi ya tarehe (23rd may 2013), endelea kutembelea website zetu na...
View ArticleBREAKING NEWS: BUNGE LASITISHWA KWA MDA DODOMA KISA KAULI HII ALIYOITOA SUGU.
Muda mfupi uliopita spika wa bunge, Anna Makinda amelazimika kusitisha shughuli za bunge mwanzoni tu mwa hotuba ya kambi rasmi ya upinzani iliyokuwa ikisomwa na waziri kivuli wizara ya Habari, Vijana,...
View ArticleTANGAZO KUTOKA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA KUHUSU KUFUNGULIWA CHUO
CHUO CHA UHASIBU ARUSHATAARIFA YA KUFUNGUA CHUOChuo cha Uhasibu Arusha kinawatangazia Wanafunzi wote wa kozi za ngazi ya Cheti hadi Stashahada ya Uzamili kwamba chuo kitafunguliwa siku ya Alhamisi...
View ArticleBREAKING NEWSSSS : MBUNGE MSIGWA AFIKISHWA MAHAKAMANI MCHANA HUU IRINGA
Mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa akishuka katika gari ya polisi baada ya kufikishwa mahakamani mchana huu katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Iringa pamoja na...
View ArticleANGALIA PICHA ZA MBUNGE MSIGWA ALIVYOFIKISHWA MAHAKAMANI IRINGA MCHANA
Mbunge Msigwa akishuka katika gari ya polisi baada ya kufikishwa mahakamani mchana huu Mbunge Msigwa akishuka katika gari hilo la polisi tayari kwa kuelekea chumba cha mahakama Mbunge Msigwa...
View ArticleBREAKING NEWZZZ : MSIGWA APEWA DHAMANA
MBUNGE WA CHADEMA IRINGA MCHUNGAJI MSIGWA HATIMAYE AMEPEWA DHAMANA SASA HIVI NA WENGINE 60 WALIOLETA VURUGU KUBWA SANA JANA MJINI IRINGA NA KUHARIBU MALI NYINGI SANA ZA WANANCHI
View ArticleWATU WA MBEYA HAWAKOMI: SHUHUDIA WANANCHI WA MLIMA NYOKA MBEYA WALIVYO...
WAKAZI WA MLIMA NYOKA MKOANI MBEYA WAKIWA NA PILIKA KUELEKEA KUCHOTA MAFUTA BAADA YA GARI HILO KUPINDUKA. SHUHUDIA WAKAZI WA MLIMA NYOKA WAKIWA WANAGOMBANIA MAFUTA GARI LA KAMPUNI YA LAKE OIL BAADA YA...
View ArticleMADAM RITA WA BONGO STAR SEARCH ANATIA HURUMA KUTOKANA NA HALI ALIYONAYO
Kilichompata Madam Rita kinasikitisha! Ndivyo unavyoweza kusema ukibahatika kumuona the big boss wa Benchmark Production inayoratibu Shindano la Bongo Star Search, Rita Poulsen ‘Madam’ anayetembelea...
View ArticleRAIS DKT. JAKAYA KIKWETE KUZINDUA MRADI YA UJENZI WA BARABARA YA DODOMA-IRINGA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA UJENZI YAH: TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE KUZINDUA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA YA...
View ArticleRAIS KIKWETE AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KATIKA MAZISHI YA MZEE ALLY KLEIST...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali, Rais wastaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa, Waziri Mkuu Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim, Katibu Mkuu wa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHANI MSIBA WA MZEE ALLY SYKES JIJINI DAR LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitia saini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa marehemu Ally Sykes, wakati alipofika kuhani msiba huo wa mwasisi...
View ArticleMATUKIO BUNGENI WAKATI WA UWASILISHAJI WA BAJETI YA WIZARA YA HABARI, VIJANA,...
Mbunge wa Mafia Mhe. Abdulkarim Shah akiuliza swali la nyongeza bungeni Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Adam Malima, akizungumza na Waziri Mkuu mstaafu Mhe. Edward Lowassa ndani ya...
View ArticleTamasha la Tabasamu na Tigo MINI KABAANG lawabamba wakazi wa mji Kasoro Bahari.
Mashabiki wakikamata T-sheti ya Tigo iliyotupwa kutoka jukwaani wakati wa tamasha la Tabasamu na Tigo MINI KABAANG lililofanyika kwenye viwanja vya sabasaba Morogoro.Kundi la sarakasi la Bombeso...
View ArticlePombe si Maji: Inakuwaje Mtu Ulewe Kiasi Hichi?
Pombe si Maji: Inakuwaje Mtu Ulewe Kiasi Hichi?
View ArticleANGALIA PICHA HIZI ZA ,HII KANGA MOKO HAIFAI(SHUHUDIA PICHA) SERIKALI LAZIMA...
Jamaa alizwa mbela ya mashabiki.Mzuka ukaanza kumpanda:Hakika mzuka umempanda ful kumwaga Radhi.jamaa amekamatia kisawa sawa yani ilikuwa full kukojoa.wakaamua kujifunika illi wamalize yao kabisa. KA
View ArticleMIGORI IRINGA, MAPEMA ASUBUHI HII,MAANDALIZI UWEKAJI JIWE LA MSINGI.
Pilika pilika za maandalizi. Uwekaji jiwe la msingi Barabara ya Iringa - Dododma, Hapa na kijiji cha Migori Mkoani Iringa.Baadhi ya viongozi wakimsubiri mgeni rasmiMuonekano wa sehemu ya Barabara...
View ArticleBREAKINGNEWS: LORI LA MAFUTA LADONDOKEA GARI NDOGO BAADA YA KUTOKEA AJALI...
Lori la mafuta likiwa limelidondokea gari ndogo baada ya kutoka ajali katika eneo la Chang'aombe jinini Dar es salaam ikihusisha na daladala ya abiria. Ajali mbaya inayohusisha Lori la Mafuta,...
View ArticleMTWARA HALI TETE
Habari zilizoifikia muda huu zinaripoti kwamba hali sio nzuri huko Mtwara, kwa ufupi hali ni tete na hakuna amani, mabomu ya machozi yanarindima muda huu na huduma zote za kijamii zimefunngwa hakuna...
View ArticleMTWARA HALI NI TETE, NYUMBA YA MWANDISHI HABARI WA TBC YACHOMWA MOTO HUKU...
Hali imezidi kuwa mbaya katika Mji wa Mtwara na hivi punde watu wanaendelea kufanya uharibifu katika maeneo mbalimbali ya mji huo.Jengo moja ambalo linadaiwa kumilikuwa na CCM limechomwa moto katika...
View Article