Pinda aenda Kiteto leo
Waziri Mkuu Pinda akishuka kwenye ndegeWaziri Mkuu, Mizengo Pinda leo anakwenda Wilaya ya Kiteto, Arusha kutafuta suluhu ya mapigano baina ya wakulima na wafugaji katika Hifadhi ya Embroi Murtangosi...
View ArticleANGALIA PICHA ZA WAKE ZA WATU, MAKAHABA WANGONOKA NA MADEREVA KWENYE...
KILE kikosi maarufu kilichojizolea sifa kwa utenda kazi wake cha Operesheni Fichua Maovu (OFM) kilicho ndani ya jumba la Magazeti Pendwa Tanzania, Global Publishers jijini Dar kinazidi kufichua uovu,...
View ArticleCLOUDS FM YAWAPIGA STOP WATANGAZAJI WAKE MAARUFU
B12, Loveness Diva & Adam MchomvuWATANGAZAJI maarufu Bongo wa Redio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam, Hamis Mandi ‘B 12’, Adam Mchomvu na Loveness Malinzi ‘Diva’, wamepigwa chini na kituo...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWAJULIA HALI MAWAZIRI WALIOLAZWA MUHIMBILI, CLEOPA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya, aliyelazwa katika jengo la Moyo Hospitali ya Taifa Muhimbili, wakati...
View ArticleRAIS KIKWETE AMTEMBELEA HOSPITALINI WAZIRI MKUU MSTAAFU CLEOPA DAVID MSUYA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Waziri Mkuu Msaafu Mzee Cleopa David Msuya aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili jana(jumapili) jijini Dar es Salaam(picha na Freddy Maro
View ArticleTAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI
WILAYA YA MBOZI – MAUAJI.MNAMO TAREHE 14.01.2014 MAJIRA YA SAA 07:00HRS HUKO KIJIJI CHA HANSETWA, KATA YA IHANDA, TARAFA YA VWAWA, WILAYA YA MBOZI, MKOA WA MBEYA, IRENE D/O MWAMLIMA, MIAKA 69, MNYIHA,...
View ArticleRAIS KIKWETE AWAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI MALAYSIA NA KAMISHA WA...
Balozi mpya wa Tanzania nchini Malaysia Dkt.Aziz Ponary Mlima akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete amewaapisha...
View ArticleSHOGA MAARUFU AWEKA HISTORIA BONGO..!! AOKOKA NA KUWA MCHA MUNGU
ANTI ASU ENZI ZAKEKATIKA tukio linalochukuliwa kama ni la kihistoria kuwahi kutokea katika miaka ya karibuni, shoga wa Jijini Dar es Salaam, Amos Hamis, maarufu kama Anti Asu, aliyeokoka Agosti mwaka...
View ArticleWAENDESHA BODABODA UYOLE WAKIMBIA NA MAITI YA MWENZAO BAADA YA MCHUNGAJI...
Mchungaji wa Bodaboda Bahati Mwasote akiendesha Ibada ya mazishi. Kanisa la Tanzania Assemblies of God[TAG]UyoleMarehemu Gabriel Osward Ngalele. enzi za uhai wakeMchungaji Edward Mtweve wa kanisa la...
View ArticleBREAKING NEWS.....MAGARI MAWILI YAWAKA MOTO IRINGA WAKATI WANAFUNZI...
Wananchi Iringa mjini wakilitazama daladala lililowaka moto wakati likiwa kwa mafundi kuunga likichomelewa leo eneo la uwanja wa samoraDaladala likiwaka moto huku kikosi cha zimamoto na uokoaji...
View ArticleNYUMBA ZAIDI YA 20 ZABOMOLEWA KITONGOJI CHA LUKONDE KIJIJI CHA KIKUNDA...
Nyumba ya mkazi wa kitongoji cha Lukondo katika kijiji cha Kikundi kata ya Kiroka, Fikiri Buma ikiwa imebomolewa na kile kilichodaiwa kuwa ni utekelezaji wa amri ya baraza la nyumba la halmashauri ya...
View ArticleLORI LILILOBEBA MBAO LAPATA AJALI ENEO JIRANI NA MIKUMI MOROGORO
Baadhi ya watu wakiwa wanasaidia kutoa mbao baada ya ajali hiyo kutokea Eneo ambapo Dereva Gari lilianza kumshinda Lori likiwa limepinduka Moja ya Tera likiwa limedondokea upande wa pili.Kwa mbele ni...
View ArticleMH. LOWASSA AKUTANA NA UONGOZI WA BODABODA MKOA WA DAR
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (katikati) akisikiliza maelezo kutoka kwa mmoja wa viongozi wa shirikisho la waendesha bodaboda jijini Dar es Salaam,waliomtembelea...
View ArticleRAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA AMKABIDHI RAIS KIKWETE VITABU VYA HOTUBA ZAKE
Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa leo amemkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete nakala ya vitabu vya hotuba zake alizozitoa kwa nyakati tofauti wakati wa uongozi wake wa miaka...
View ArticleRAMBIRAMBI MSIBA WA MWAMUZI MSEBULA
Shrikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha mwamuzi Methusela Msebula kilichotokea juzi (Januari 13 mwaka huu) katika Wilaya ya Bukombe mkoani Geita.Mwamuzi Msebula...
View ArticleSHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) KWA KUSHIRIKIANA NA JESHI LA POLISI KANDA...
Askari Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam wakibeba maborota ya mitumba ya nguo za ndani kama sidiria na chupi leo katika soko la Karume katika operesheni ya kukataza kuuza nguo za ndani za...
View ArticleHiki ndichokilichowatokea Waumini wale waliolishwa Nyasi,Ni hatari tupu...
Waumini wa Mchungaji Daniel walijikuta wakianza kuumwa mara baada ya Mchungaji huyo kuwafanya wale wale majani.Picha zinazofuata zinaonyesha watu tofauti wakiwa wagonjwa kwenye vyoo - picha za vyooni...
View ArticleArticle 6
JESHI LA POLISI MKOANI ARUSHA LIMEKAMATA MISOKOTO YA BANGI 5000Mkuu wa kitengo cha kuzuia na kupambana na madawa ya kulevya Mkoa wa Arusha Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) Aben Mgode akiwaonyesha...
View ArticleTaswira:Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad...
Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akikabidhiwa fomu ya kugombea nafasi ya mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa, kutoka kwa Katibu wa tawi lake la Kidatu 'A' Mtoni, Bakar Hamad Ali. Aliijaza...
View Article