YANGA YA UTURUKI YAIBUKA NA USHINDI KIDUCHU DHIDI YA ASHANTI UNITED
Mshambuliaji wa Yanga, Didier Kavumbagu (kushoto) akiruka kuwania mpira na kipa wa Ashanti United, Daudi Mwasongwe, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja...
View ArticleMBEYA CITY NA AZAM FC ZAENDELEA KUIFUKUZIA YANGA KILELENI BAADA YA KUSHINDA...
TIMU ya Azam FC na Mbeya City zimeendelea kuifukuzia Yanga kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya zote kuibuka na ushindi wa bao 1-0.Azam iliifunga Mtibwa Sugar uwanja wa Chamazi nje...
View ArticleBAYERN MUNICH YAIFUNGA BORUSSIA MONCHENGLADBACH 2-0
Mabingwa Watetezi, Bayern Munich, ambao pia ndio Vinara wa ligi hiyo leo wametembeza kichapo cha bao 2-0 kwa timu ya Borussia Monchengladbach. Timu hizo Borussia Monchengladbach na Bayern Munich ni...
View ArticleMichael Essien atimkia AC Millan
Kiungo Mghana wa Chelsea Michael Essien, amemwaga wino kukipiga na klabu ya AC Millan ya Serea A.Akiondoka kwa uhamisho wa bure, amekuwa mchezaji wa kwanza kusainiwa na kocha mpya wa AC Millan Clarence...
View ArticleANGALIA PICHA YA KIJANA ALIYEPIGWA RISASI WAKATI AKIJARIBU KUIBA
Tukio la kustaajabisha limetokea hapo jana mchana nchini Brazil,ambapo vijana wawili walijikuta hatiani baada ya mmoja wao kupigwa risasi wakati wakijaribu kuiba katika kituo cha gesi. Vijana hao...
View ArticleCristiano Ronaldo alipoionyesha tuzo ya Ballon d’Or mbele ya mashabiki zaidi...
Mchana wa leo katika dimba la Santiago Bernabeu mwanasoka bora wa dunia, Cristiano Ronaldo aliionyesha kwa mara ya kwanza tuzo yake ya Ballon D’or kwa mashabiki zaidi ya 80,000 waliojazana katika...
View ArticleNDEGE ILIYOMBEBA WAZIRI WA HABARI ZANZIBAR YAANGUKA PEMBA
Abiria 17 akiwemo waziri wa katiba na sheria Zanzibar Mhe. Abubakari khamis bakar, na marubani wawili, wamesalimika kifo baada ya ndege ya shirika la ndege la ‘Zanz air’ kufeli breki, muda mfupi wakati...
View ArticleOPARESHENI PAMOJA YA CHADEMA ILIVYOKUWA KIGOMA
Viongozi wa Chadema walipokuwa Kigoma kwenye Operersheni Pamoja Daima Wakazi wa Kigoma waliojitokeza kwenye mkutano wa Operesheni Pamoja Daima.CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimepasua...
View ArticleZIARA YA VIONGOZI WA CHADEMA MKOANI MBEYA
Baadhi ya wananchi wa mji wa Mbeya wakiwa wabeba mabango yenye ujumbe mbalimbali, wakati wa mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima wa Chadema, uliofanyika kwenye Uwanja wa Lwanda Nzovwe...
View ArticleMWIGULU CHEMBA AWASHA MOTO KITETO KAMPENI ZA UDIWANI,AWALIPUA WAPINZANI
Naibu katibu Mkuu wa CCM-Bara Mh:Mwigulu Nchemba akiwasili eneo la Mkutano wa hadhara Kata ya PARTIMBO kitongoji cha NALANG,TOMON Wilaya ya Kiteto hii leo tar.25.01.2014 kwaajili ya Ufunguzi wa Kampeni...
View ArticleMAADHIMISHO YAPITA KWA KISHINDO MISRI
Waandamanaji kadha wameuwawa katika mapambano yaliyotokea mjini Cairo na miji mengine ya Misri, wakati maandamano ya pande zinazopingana yamefanywa kuadhimisha mwaka wa tatu wa maandamano yaliyompindua...
View ArticleLOYOLA SEKONDARI YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA KIKE
Sehemu ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Loyola wakiwa katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Shuleni hapo.Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Loyola...
View ArticleJUAN MATA RASMI NDANI YA O.T MAN UTD..
Manchester United imekamilisha rasmi usajili wa kiungo Juan Mata kutoka Chelsea kwa ada ya usajili ya £37.1 million, ambayo ni rekodi mpya katika usajili wa United, klabu hiyo imethibitisha. Mata, 25,...
View ArticleWAZIRI AHIMIZA VYUO KUZALISHA WATAALAMU
Dar es Saaam. Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa,amevitaka vyuo vya ufundi kuhakikisha vinawaandaa wataalamu ili nchi ijiendesha kwa viwanda, hasa kwa wakati huu...
View ArticleESSIEN AHAMIA AC MILAN
KLABU ya Chelsea imefikia makubaliano ya kumuuza kiungo Michael Essien kwa AC Milan, timu hiyo ya Ligi Kuu ya England imetangaza. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 amejikuta anakosa namba kikosi...
View ArticleWAZIRI WA KATIBA NA SHERIA, DKT. ASHA- ROSE MIGIRO ATEMBELEA TUME YA...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha-Rose Migiro (kushoto) akipokea nakala za ripoti za Tume ya Mabadiliko ya Katiba ikiwemo Rasimu ya Katiba kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Joseph Warioba...
View Article