WINNIE MANDELA AAMBULIA PATUPU URITHI WA MANDELA, GRACA ARITHI ASILIMIA 50...
KUTOKA KUSHOTO: Winnie Mandela, Jaji Dikgang Moseneke na Mzee Mandela.Mke wa zamani wa Nelson Mandela, Winnie Madikizela-Mandela ameambulia patupu katika wosia wa kinara huyo wa vita dhidi ya ubaguzi...
View ArticleIGP MANGU AFANYA MABADILIKO KWA BAADHI YA MIKOA
Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Ernest Mangu amefanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa mikoa, wakuu wa upelelezi wa mikoa, wakuu wa usalama barabarani wa mikoa pamoja na watendaji wengine wa...
View Article9 KANEMBWA WATAKIWA KUWASILISHA UTETEZI
Wachezaji tisa wa Kanembwa JKT pamoja na timu yao wanaolalamikiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kumpiga mwamuzi Peter Mujaya wanatakiwa kujitetea mbele ya Kamati ya...
View ArticleMFUMO WA MATOKEO MAKUBWA SASA (BRN) UNAFANYAKAZI
“Mabadiliko katika mfumo wa Serikali katika utendaji kazi kupata mafanikio haraka"Ofisi ya Rais - Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Miradi (OR- UUM) imetoa taarifa kwa umma kuwa utekelezaji wa mfumo wa –...
View ArticleJanuary Makamba aamua Kuweka Ubunge wake Rehani kwa Kutetea Wananchi
Sina hofu ya kupoteza kiti cha Ubunge wala kwenda mahakamani ilikulinda haki za wakulima wa chai Bumbuli.Kitu ninachopenda kuona ni wakulima wanaomiliki kiwanda cha chai Mponde kupitia umoja wao wa...
View ArticleKOMBE LA MFALME : REAL MADRID WAICHAPA ATLETICO MADRID 3
Elation: Real Madrid players celebrate after they take the lead at the BaernabeuFlashy: Cristiano Ronaldo tries some step-overs during a fairly quiet match for the Ballon d'Or winnerDelight: Pepe...
View ArticleMAAFISA HABARI NA MAWASILIANO WATOA MSAADA KWA WAZEE WA KITUO CHA MWANZANGE...
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene,Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania Innocent Mungy (mwenyeshati la mistari) na Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni toka...
View ArticleOPERESHENI TOKOMEZA IANZE KWA KUTAJA WABUNGE MAJANGILI
Serikali imetangaza rasmi kuanza upya kwa 'Operesheni Tokomeza Majangili', baada ya kuisitisha zaidi ya miezi mitatu iliyopita kutokana na operesheni hiyo kukumbwa na matatizo ya utekelezaji, ambapo...
View ArticleWATUHUMIWA WA YALE MAUAJI YA KUTISHA KITETO, MANYARA....JIONEE MWENYEWEW...
Watuhumiwa wa mauaji yaliyotokea Kiteto Jan 12 mwaka huu wakiwa katika Mahakama ya hakimu Mkazi Kiteto Manyara
View ArticleUVCCM MORO YAPINGA TAMKO LA MWENYEKITI MKOA MOROGORO, YASEMA NI LAKE BINAFSI,...
Ndugu zangu waandishi wa habariHabari za kazi, na hongereni sana kwa kazi nzuri ya habari mnayoifanya katika jamii yetu.Ndugu zangu nimewaiteni hapa ili kusema machache na kuendelea kutoa maoni yangu...
View ArticleANGALIA NAFASI ZA KAZI TANZANIA PETROLEUM DEVELOPMENT CORPORATION
CAREER OPPORTUNITIESTanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) is a National Oil Companydealing with oil and gas exploration, development and production. The company isbased in Dar- Es...
View ArticleNAFASI MPYA YA KAZI TPB
CHIEF MANAGER, HUMAN RESOURCES-CMHR (1 POSITION)Tanzania Postal Bank (TPB) seeks to appoint dedicated, self-motivated and highly organized Chief Manager, Human Resources-CMHR (1 position) to join the...
View ArticleAngalia Picha za matukio ya kusisimua ya wanyama mwaka 2013
Mwaka 2013 si tu kuwa ulikuwa na matukio ya ajabu kwa binadamu lakini pia katika ulimwengu wa wanyama kulikuwa na vituko vya hapa na pale, nimekuandalia picha 15 zikionyesha matukio mbalimbali ya...
View ArticleOBAMA ANA VITUKO HASWAA...MCHEKI ALIVYO AMUA KUFANYA SHOPING HUKU WATU...
Rais Obama akiwa na wanaye Sasha na Malia katika duka la vitabu kusupport biashara ndogoJumamosi ya baada ya ‘Thanks giving day’ kwa Marekani, hufahamika kama ‘small Business Saturday’, hivyo Obama...
View ArticleRussia: Not the time for resolution on Syria aid
A Syrian refugee living in Jordan waits to receive humanitarian supplies, funded by the Swiss agency for Development and Cooperation, in Amman February 5, 2014. Russia opposed on Wednesday a new U.N....
View Article