VUKUVI ARIDHIKA UKUMBI WA BUNGE LA KATIBA
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi jana alitembelea ukumbi wa Bunge maalum la Katiba, linalotarajia kuanza Februari 18, mwaka huu na...
View ArticleFUKWE ZA TANZANIA UCHOCHORO WA DAWA ZA KULEVYA
 Baada ya kikosi kazi cha Jeshi la Polisi cha Kudhibiti Uharamia Baharini kukamata kilo 201 za dawa za kulevya aina heroini zilizokuwa zikiingizwa nchini kutoka Iran. Sasa imefahamika kuwa madawa ya...
View ArticleHATARI YA BARABARA YA NDADA KUELEKEA MASASI MKOANI MTWARA.
Magari yakipishana kwa shida katika eneo hilo la Kijiji cha Mkalapa,Mkoani Mtwara kutokana na kuharibika kwa barabara hiyo.Wakazi wa kijiji hicho pamoja na Abiria wanaosafiri kwenda...
View ArticleLIGI KUU ENGLAND : MANA UTD YATOKA SULUHU NA ARSENAL
Arsenal 0-0 Man United:Stunning: Wojciech Szczesny made a brilliant save to deny Van Persie in the dying stages at the EmiratesChange: Robin Van Persie had an early opportunity to open the scoring for...
View ArticleCHADEMA IRINGA WAMCHAGUA LUCAS SINKALA MWENDA KUGOMBEA UBUNGE KALENGA.
Bw. Lucas Sinkala Mwenda amechaguliwa kuiwakilisha CHADEMA katika nafasi ya kugombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia kura za maoni zilizopigwa na jumla ya wajumbe 407 wa chama hicho katika mkutano...
View ArticleKESI YA ZITO DHIDI YA CHADEMA KUTAJWA LEO
 Zitto Zuberi KabweKesi ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe dhidi ya chama chake hicho inatarajiwa kuanza kutajwa leo katika Mahakama Kuu, Kanda...
View ArticleRAIS KIKWETE AFUNGUA KAMPENI MAALUM YA MABANGO YA KUPIGA VITA UUAJI WA TEMBO...
 Moja ya mabango yaliyozinduliwa na Rais Jakaya Kikwete usiku wa kuamkia leo kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kupiga vita mauaji ya Tembo na Faru nchini. Rais Jakaya Kikwete (kulia) akibofya kwenye...
View ArticleBABA AMUUA MWANAE KINYAMA KWA KUMBAMIZA BARABARANI
 ONESTORY Mgaya (31) mkazi wa kijiji cha Madaba Wilaya ya Songea mkoa wa Ruvuma anashikiliwa na Jeshi la polisi kwa tuhuma za kumuua mtoto wake Nesta Mgaya mwenye umri wa miezi saba kwa kumbamiza...
View ArticleMBUNGE MSINGWA AMJIBU WAZIRI NYALANDU
mbunge msigwa akizungumza na wanahabari leo mwandishi Kenneth John wa matukiodaima.com DarKutokana  na  hivi  karibuni  gazeti  la  Daily  Mail  linalochapishwa nchini  Uingereza  kuripoti  kuhusu...
View ArticleNMB AND TIGOPESA LAUNCH CASH DEPOSIT AND WITHDRAWAL SERVICE THROUGH MOBILE PHONE
 On 12thFebruary, 2014, Tigo and NMB, two leading Tanzanian commercial firms in telecoms and banking industries respectively, have today launched an innovative service that enables customers of both...
View ArticleBARCELONA WATOKA SARE YA 1 KWA 1 NA SOCIEDAD,SASA KUKUTANA FAINALI NA REAL...
Lead: Lionel Messi gave Barcelona a 1-0 lead against Real Sociedad in the Copa del Rey semi-final.Lionel Messi reached another milestone and Barcelona reached the Spanish Cup final with a performance...
View ArticleAzam Yaelekea Msumbiji J Kuikabili Ferroviario de Beira
Msafara wa watu 37 wa klabu ya soka ya Azam leo umeelekea mjini Beira nchini Msumbiji, kuikabili Ferroviario de Beira katika mechi ya pili ya raundi ya awali ya Kombe la Shirikisho Afrika.Picha za Timu...
View Article