WABUNGE WANNE WA CHADEMA MBARONI VURUGU ZA ARUSHA
Wabunge wa 4 wa Chadema mikononi mwa polisi.Lema na Mbowe wataroko,Polisi wanawasaka..Aidha wamewataka wajisalimishe polisi haraka sana.WABUNGE WA CHADEMA WALIOKAMATWA VURUGU ZA ARUSHA HII LEO.1.Lissu...
View ArticleVURUGU ZA ARUSHA: CHADEMA YAGOMA KUTOA USHAHIDI POLISI
Wabunge wanne wa Chadema, Said Arfi (Mpanda Mjini), Tundu Lissu (Singida Mashariki), Mustapha Akunaay (Mbulu) na Joyce Mukya (Viti Maalumu) wamekamatwa wakituhumiwa kuhusika na mkusanyiko usio halali...
View ArticleWANAFUNZI KIDATO CHA SITA WABEBESHWA MZIGO WA UALIMU WA SAYANSI ROMBO
KITENDO cha upungufu wa walimu wa sayansi nchini hasa katika shule za sekondari zinazomilikiwa na serikali kimezidi kuibua changamoto maeneo mbalimbali nchi. Shule ambazo kwa sasa zinakabiliwa na...
View ArticleTaarifa: Saida Karoli yuko hai. Kweli ajali ya boti imetokea lakini Saida...
Mtandao wa Wavuti unaripoti taarifa ya Neville Meena kuwa ingawa ni kweli kuna ajali ya boti iliyotokea, mwanamuziki Saida karoli hakuwa mmoja wa waliokuwemo kwenye boti hiyo na yuko hai!Taarifa hiyo...
View ArticleHISPANIA YATWAA UBINGWA U21, YAIBAMIZA ITALIA 4-2
Hispania U-21 wakishangilia ubingwa baada ya kuibamiza Italia 4-2Hispania wakishangilia Thiago Alcantara amefunga mabao matatu kipindi cha kwanza kuipa ushindi Hispania KIUNGO Thiago Alcantara amekuwa...
View ArticleMAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA BARANI AFRIKA YANAYOENDELEA NCHINI GHANA
Watanzania wakipunga mikono wakati wa ufunguzi wa mikutano ya watumishi wa umma barani Afrika hapa Nchini Ghana. Afisa Tawala Mwandamizi wa Wizara ya Fedha Idara ya Mhasibu Mkuu wa Serikali Bw....
View ArticleVURUGU ARUSHA; TUNDU LISSU, MUSTAFA AKOONAAY MBARONI
Moto uliowashwa na baadhi ya watu wakifunga barabara baada ya kutawanywa na Polisi kwa mabomu ya machozi katika viwanja vya SOWETO vilivyopo jijini hapa, barabara Iiliyopo eneo la Kaloleni. (Picha zote...
View ArticleBAADA YA KUZUSHIWA KIFO, HIKI NDICHO ALICHOSEMA MSANII SAIDA KAROLI
Baada ya taarifa kuzushwa kuwa Mwanamuziki wa asili, Saida Karoli amefariki katika ajali ya meli habari za uhakika ni kuwa Saida Karoli wala hayuko mahala popote jirani na Ziwa Victoria. Baada ya...
View ArticleANGALIA PICHA ZA DIAMOND KWA AJILI YA MASHABIKI WAKE
SECOND ROUND......old school kibaba baba zaidi....au unasemaje?? Jus wait n seeDooh...huyu jamaa ana mkono hatari sana kwenye maswala aya ya picha....hatari sana hii picha nayo angalia hapa...!Kiujana...
View ArticleANGALIA PICHA YA MDADA AKICHEZEA KICHAPO KWA KUFANYA UKAHABA JIRANI NA MSIKITI
Richard Bukos na Issa MnallyKHAAA! Operesheni Fichua Maovu ‘OFM’ iliyo chini ya Global Publishes, ipo mzigoni na hivi karibuni imenasa tukio la aina yake ambapo mke wa mtu amechezea kichapo ‘hevi’...
View ArticlePress Statement from U.S. Ambassador Alfonso E. Lenhardt Condemning Bombing...
Ambassador Alfonso E. LenhardtThe United States of America strongly condemns the June 15, 2013 bombing at a public rally organized by the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) political party in...
View ArticleWABUNGE CCM WAIPINGA BAJETI 2013/2014
Ally Keissy,Mbunge wa Nkasi KaskaziniBaadhi ya wabunge wa CCM wameweka ngumu kuunga mkono mapendekezo ya Bajeti ya serikali ya mwaka 2013/14 iliyowasilishwa na Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa wiki...
View ArticleJAY DEE, ROMA, DIMPOZ,KIBA, PFOF J, BEN POL,LINEX NA KALA JEREMAYA KUWASHA...
Tanzania Breweries Limited (TBL) chini ya nembo yake ya Kilimanjaro Premium Lager, inaanza rasmi tamasha kubwa la muziki lijulikanalo kama ‘Kili Music Tour’ wikiendi hii mjini Dodoma.Tamasha...
View ArticlePolisi wawashukia Mbowe, Lema na Nape
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe Jeshi la Polisi limetishia kuwakamata Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema na limesema litamhoji Katibu Mwenezi wa CCM,...
View ArticleCCM YAOMBWA IRUHUSU WATU KUJITANGAZA URAIS.
VUGUVUGU la Uchaguzi Mkuu wa 2015 linazidi kupamba moto ambapo juzi aliyekuwa Waziri Mkuu, Frederick Sumaye, ameomba CCM itoe ruhusa mapema kwa wanaowania urais kuanza kutangaza nia lakini bila...
View Article