MWEZI WA RAMADHANI WAMFANYA WEMA ABADILIKE TENA
KUFUATIA Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, staa wa Filamu za Kibongo, Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ au maarufu kama Madam amebadilika na kuondoa vitu vyote visivyo vya asili mwilini mwakeWema alitupia...
View ArticleDIAMOND" AWATIBUA MASHEHE NI BAADA YA KUFUTURU NA KIMADA NDANI YA MWEZI...
Hivi karibuni mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ amenaswa akifuturu na hawara yake, Penniel Mungilwa ‘Penny’, kitendo ambacho kimewashangaza wengi na baadhi kufikia hatua ya kumponda kuwa anakwenda...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO ABUJA NIGERIA, AONDOKA LEO...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya Watanzani ya waishio mjini Abuja, wakati alipokutana nao katika Makazi ya Ubalozi wa Tanzania...
View ArticleWAZIRI MKUU MIZENGO PINDA KATIKA ZIARA WIALAYANI TUNDURU
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (kushoto) wakisalimiana na Mkurugenzi wa Kanisa la Upendo wa Kristo Masihi (KIUMA), Dr. Matomola Matola (wapili kuli) baada ya kuwasili katika misheni hiyo...
View ArticleANGALIA PICHA KILICHOJILI KWENYE MAZISHI YA BABA YAKE JOYCE KIRIA
My Late Dad Michael Francis Iwambo Kiria, R.I.PHuyu ndo baba yangu aliyefariki dunia 10/7/2013 huko mkoani Tanga ambako alikuwa anaishi na familia yake. Katika kizazi cha Babu yangu mzaa Baba, anaanza...
View ArticleWAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AZINDUA MIRADI YA MAENDELEO NAMTUMBO
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa machinjio ya kisasa katika mji mdogo wa Namtumbo akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai 16, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri...
View ArticleDK MALASUSA: NCHI HAITAKUWA NA AMANI KWA KUONGEZA IDADI YA POLISI
Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT ), Askofu Dk.Alex Malasusa amesema nchi haitakuwa na amani kwa kuongeza idadi ya polisi bali amani itapatikana kutokana na Watanzania...
View ArticleHii hapa kauli ya Ban K-Moon juu ya mauaji ya askari wa JWTZ Darfur
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UNO), Ban K-Moon(pichani chini), amesema amesikitishwa na kuhuzunishwa na mauaji ya askari saba wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), lililofanywa na waasi wa Sudan...
View ArticleCheka aonywa kucheza mechi ya 'ndondo'
Bondia Francis ChekaOGANAIZESHENI ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBO-Limited), imetahadharisha na kusisitiza kuwa bondia Francis Cheka 'SMG' hawezi kucheza pambano jingine lolote kabla ya kuvaana na...
View ArticleMshiko alio ingiza Jennifer Lopez kwa kuimba kwenye birthday party na harusi
Licha ya ukweli kwamba Jennifer Lopez hafanyi vizuri kimuziki kwa sasa, ameendelea kupiga mshiko wa maana kutokana na show anazofanya. Hata hivyo sio show za kawaida kama wafanyavyo wengine, ni private...
View ArticleRais Kikwete amtaka rais wa Sudan kuchukua hatua kufuatia kuuawa na...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Rais Omar Bashir wa Sudan kufuatia kuuawa na kujeruhiwa kwa askari wa Tanzania, walioko katika ulinzi wa kimataifa wa amani katika...
View ArticleMwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri nchini "Absalom Kibanda" hatimaye Azungumzia...
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri nchini Tanzania (TEF), "Absalom Kibanda" amesema zipo taarifa mbalimbali za kutaka kupotosha ukweli kuhusu yeye, lakini ukweli utabaki kuwa kweli na tukio alilofanyiwa...
View ArticleIGP SAID MWEMA AKUTANA NA NAIBU KAMISHINA WA UNAMID DKT. SYED KALEEM IMAM
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Said Mwema, akimkabidhi zawadi yenye nembo ya Jeshi Polisi Tanzania, Naibu Kamishina wa UNAMID Dkt. Syed Kaleem Imam, kutoka nchini Sudan, jimbo la Darfur,...
View ArticleBENKI YA NBC YAZINDUA KAMPENI YA MIKOPO YA WAFANYAKAZI WAAJIRIWA
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu (wa tatu kushoto), akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Mikopo ya Wafanyakazi Waajiriwa ya benki hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Wengine kutoka...
View ArticleFRANK ATISHIWA KUUAWA
Mohammed Mwikongi ‘Frank’.Na Mwaija SalumMSANII wa Filamu za Kibongo, Mohammed Mwikongi ‘Frank’ amedai kutishiwa kuuawa baada ya kupokea ujumbe mfupi wa meneno ‘sms’ kutoka kwa mtu anayekulikana kwa...
View ArticleMama Baghdad amuombea msamaha mwanae kwa Chidi Benz, aomba wakutane pamoja na...
Baada ya jana Chidi Benz kuweka wazi kuwa hategemei kumsamehe Baghdad kwa ‘blunder’ aliyoifanya ya kuwashirikisha yeye na Nay wa Mitego bila kuwaambia, mama mzazi wa Baghdad amekuja hadharani na...
View ArticleMzee Magali wa Bongo Movie aingia kwenye Bongo Flava
Mwaka 2013 utakuwa na surprise nyingi sana... So far tumeshapata surprise kibao ikiwemo ile ya jana ya promoter na Mkurugenzi wa Watanashati Entertainment, Ostaz Juma na Musoma kuingia kwenye hip hop...
View ArticleAirtel yazima laini za simu zisizosajiliwa 200,000 ili kuongeza usalama Dar...
Mkurugenzi wa Mawasiliano Airtel Bi Beatrice SinganoAirtel yazima laini za simu zisizosajiliwa 200,000 ili kuongeza usalama Dar es Salaam, Tanzania 18 Julai 2013, Airtel Tanzania imetangaza itetimiza...
View Article