BATULI ASEMA..."WASANII WENGI WA BONGO MOVIE NI OMBA OMBA...ACCOUNT ZAO...
Batulli ambaye ni mmoja wa waigizaji wa kike warembo nchini na ambaye jina lake halisi ni Yobnesh Yussuph aka Nesh, amefunguka kwenye Twitter kuwa licha ya soko la movie kupanuka, waigizaji wengi...
View ArticleANGALIA PICHA ZA MCHEZO WA KUCHEZA NA NG'OMBE HATARI SANA, ANGALIA WATU HAWA...
Horrifying: Three people were gored today on the bloodiest day of the famous Spanish Running of the Bulls festival so far this yearMenacing: The runner gets tossed in the air by an El Pilar fighting...
View ArticleLISHE MUHIMU KWA WANAOISHI NA UKIMWI VINAVYOSAIDIA KUISHI MAISHA MAREFU
Nafaka zisizokobolewa zina virutubisho zaidi vya vitamini B na nyuzinyuzi (fibre)kuliko zile zilizokobolewa. Mara nyingi vyakula hivi huchukua sehemu kubwa yamlo. Pamoja na vyakula hivi kuupa mwili...
View ArticleFALCAO AFUNGA AS MONACO IKISHINDA 2-0
Ligi kuu ya Ufaransa (Ligue 1) imeendelea tena jana Agosti 10,kwa Radamel Falcao kuanza kufumania nyavu; AS Monaco ikishinda 2-0 nyumbani kwa Girondins Bordeaux.mmanuel Riviere kwa kutupia guu lake la...
View ArticleDEREVA BODABODA AUAWA KWA KUKATWAKATWA MAPANGA KISA WIVU WA MAPENZI.
MWENDESHA bodaboda mkazi wa kijiji cha Igalako wilayani Mbarali, Mbeya, Yohana Mkinga (17) ameuawa kwa kupigwa mapanga na kisha mwili wake kutelekezwa kwenye shamba la mpunga katika tukio...
View ArticleTaswira za Baraza la Eid El Fitr 2013 Lililofanyika Malindi Zanzibar
Baraza la eid el fitr 2013 lililofanyika leo Siku ya Jummamosi Aug 10, katika ukumbi wa Alyamin Malindi Zanzibar Mhe Balozi wa Yeman nchini Tanzania Giafar M. Bader Al Khathir (wa pili kutoka kulia)...
View ArticleMtoto Aanza Kuongea Dakika Chache Baada ya Kuzaliwa
Mtoto mmoja nchini Urusi amewashangaza wazazi na madaktari baada ya kuanza kuzungumza dakika chache baada ya kuzaliwa. Kwa mujibu wa tovuti za nchini Urusi, mtoto huyo alianza kusema neno lake la...
View ArticleKipofu Aona Uingereza Baada ya Kupandikizwa Jino Kwenye Jicho Lake
Mwanaume mmoja kipofu wa nchini Uingereza ameweza kumuona mkewe kwa mara ya kwanza baada ya kufanyiwa upasuaji wa macho ambapo jino lake la juu lilipandikizwa kwenye jicho lake. Mjenzi Martin Jones,...
View ArticleSaudi terror arrests suggest U.S. not alone in war against al-Qaeda
Soldiers from the Saudi special forces' anti-terror unit. (File photo: Reuters)Walid PharesDr. Walid Phares - Special to Al ArabiyaWalid PharesIn the United States, the general perception is that the...
View ArticleDEMPSEY AONEKANA KWA MARA YA KWANZA AKIWA NA SEATTLE SOUNDERS DHIDI YA...
The Seattle Sounders had a big night in Toronto, claiming three points on the road with a 2-1 win over TFC, while also seeing the first outing of U.S. national team captain Clint Dempsey in a Sounder...
View ArticleHow Bill Clinton inspires ordinary Rwandans
The Clintons drinking water after purifying it. This was part of CGI and Procter and Gamble’s Commitment to Save One Life Every Hour – a campaign dedicated to providing clean drinking water to areas in...
View ArticleWafuasi wa Morsi hawataki kupatana
Chama cha rais aliyetolewa madarakani, Mohammed Morsi, hakikubali juhudi za kupatanisha zinazofanywa na mmoja kati ya viongozi wakubwa wa kidini nchini Misri.Msemaji wa mashauri ya nchi za nje wa chama...
View ArticleCHELSEA NA AS ROMA, RFK STADIUM, WASHINGTON, DC KATIKA PICHA
Chelsea FC ya Uingereza Jumamosi Aug 10, 2013 ndani ya jiji la watunga sheria (Washington, DC) kwenye uwanja wa RFK iliibanjua timu ya AS Roma ya Italia kwa bao 2-1 mpaka mapunziko AS Roma walikua...
View ArticleMANCHESTER UNITED YANYAKUA NGAO YA HISANI MBELE YA WIGAN, MOYES AFURAHIA...
On form: Van Persie scored a double as Manchester United beat Wigan 2-0 at WembleyFirst of many? David Moyes holds aloft the Community Shield - his first trophy at Manchester UnitedManchester United 2...
View ArticleFrancois Bozize: Nitarejea madarakani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati
Rais aliyeondolewa madarakani kwa mapinduzi ya mwezi machi mwaka huu nchini Jamuhuri ya Afrika ya kati, Francois Bozize amesema yupo tayari kurejea madarakani na kuiondoa serikali ya mpito inayoongozwa...
View ArticleIsrael yajenga makaazi zaidi ya walowezi
Serikali ya Israel imeidhinisha ujenzi wa nyumba mpya zaidi ya 1,000 katika makaazi ya Wayahudi kwenye maeneo ya Wapalestina yanayokaliwa na Israel.Tangazo hilo limetolewa siku tatu kabla ya mazungumzo...
View ArticleWapigaji kura Mali wachagua rais
Wananchi wa Mali wanapiga kura katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais - uchaguzi unaotarajiwa kurejesha demokrasi na utulivu baada ya matafaruku wa mwaka mzima chini humo.Katika mwaka uliopita...
View ArticleKUTOKA KWENYE MTANDAO WA DAILYMAIL UINGEREZA:SHEIGH PONDA AHUSISHWA NA KESI...
Sheikh Ponda Issa who is suspected of inciting the attack on Kirstie Trup and Katie Gee was shot by police in Tanzania's capital last night A radical Muslim preacher wanted in connection with an acid...
View ArticleJESHI LA POLISI LAZUNGUMZA KUHUSU PONDA
Advera Senso- SSP-Msemaji wa Jeshi la Polisi.-- JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NDANIJESHI LA POLISI TANZANIA DAR ES SALAAM AGOSTI 10, 2013.Anuani ya Simu “ MKUUPOLISI”...
View Article