LIGI KUU ENGLAND CHELSEA WASHINDA 2
He's back: Jose Mourinho blows kisses to the Stamford Bridge crowd on his returnComfortable: Oscar set Chelsea going in the 13th minute and there was no way back for Hull from thereEasy does it: Oscar...
View ArticleDIAMOND MUSICA, FIVE STAR MODERN TAARAB ZILIVYOUMANA DAR LIVE
Wanamuziki wa Diamond Musica wakiwajibika jukwaani.Wanamuziki wa Five Star wakiwajibika stejini.Didi Namba wa Diamond Musica akiimba.Wanenguaji wa Diamond wakionyesha umahiri wao wa kunengua.Ally J wa...
View ArticleOFISA WA JESHI ATOROKEA RWANDA NA SIRI NZITO ZA JESHI
Mkuu wa JWTZ, Meja Jenerali Davis MwamunyangeAdaiwa kutoweka na nyaraka nyetiOFISA wa cheo cha juu katika Jeshi la Wananchi (JWTZ), anayeaminika kuwa na asili ya Rwanda, ametoweka katika mazingira ya...
View ArticleWAZIRI MKUU WA MISRI ATAKA KUTOINGILIWA MASUALA YA NDANI YA NCHI HIYO
Serikali ya mpito ya Misri imezitaka baadhi ya nchi kuacha kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo. Nabil Fahmy Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri amesema kuwa Cairo inapinga uingiliaji wowote wa kigeni...
View ArticleRuto tells off CORD over calls for referendum
Deputy President William RutoKenya: Deputy President William Ruto has told off politicians calling for a referendum to determine how the president will be elected in the future.Ruto the calls coming...
View ArticleUlimwengu mzima walaani mauaji ya raia nchini Misri
Baada ya polisi wa Misri kutumia nguvu kuvunja mikusanyiko ya wafuasi wa rais aliyepinduliwa Muhammad Musri na kuua mamia ya watu na kujeruhi maelfu ya wengine mjini Cairo, walimwengu wameonesha...
View ArticleMERKEL APENDEKEZA MARUFUKU YA SILAHA MISRI
Ujerumani imependekeza kupiga marufuku upelekaji wa silaha nchini Misri kama hatua itakayoratibiwa kwa pamoja na Umoja wa Ulaya kupinga hatua ya serikali ya Misri ya kuvunja maandamano kwa kutumia...
View ArticleSADC yataka vikwazo kwa Zimbabwe kufutwa
Viongozi wa Kanda ya Kusini mwa Afrika wamezitaka dola za Magharibi kuondoa vikwazo vilivyowekewa nchi ya Zimbabwe, baada ya kuithinisha ushindi wa Rais Robert Mugabe.Rais wa Malawi Joyce Banda ambaye...
View ArticleANGALIA PICHA ZA MJUSI MKUBWA WA TANZANIA ALIEKO UJERUMANI ANAYETAKA KURUDISHWA
The governments of Tanzania and Germany will soon strike an agreement for the return to Lindi region of the remains of huge lizard species known as a dinosaur, which were taken to the European country...
View ArticleKISA MZOZO, JENGO LA BAKWATA LABOMOLEWA
Jengo la Bakwata lilivyobomolewa.Mmoja wa wapangaji akiokoa mali zake.Sehemu ya mlango ambayo imevunjwa na wabomoaji ili waingie.Ofisi zikiwa zimesambaratishwa wenyewe wakiwa hawapo.Jengo la Bakwata...
View ArticleJESHI LA POLISI LAFANIKIWA KUKAMATA VITU MBALIMBALI KATIKA OPERESHENI KALI...
Kamishina wa Polisi kanda Maalum Dar es salaam , CP , Suleiman Kova, Akiongea na waandishi wa habari leo Ofisini kwake jijini Dar es salaam, kuhusu Operesheni kali dhidi ya wahalifu wanaotumia silaha,...
View ArticleANGALIA PICHA ZA SHEIKH PONDA ALIVYOFIKISHWA MAHAKAMANI LEO
Sheikh Issa Ponda Akiwa mahakamani mkoani Morogoro asubuhi ya leo Sheikh Ponda Amesomewa Mashtaka Matatu katika Mahakama ya mkoa wa Morogoro Likiwemo la uchochezi alilolitoa Kwenye Mkutano wa Hadhara...
View ArticleRAIS DKT. KIKWETE ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA NEMELA MANGULA
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa, Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu...
View ArticleANGALIA PICHA ZA VURUGU MAANDAMANO YA CHADEMA JIJINI MWANZA LEO.
MAANDAMANO ya amani yaliyokuwa yameandaliwa na chama cha demokrasia na maendeleo(chadema) yamegeuka shubiri kwa wakazi wa jiji la Mwanza baada ya kuibuka mapambano makali baina ya waandamanaji...
View ArticleKUKU ASABABISHA SISTA KATOLIKI KUPIGWA NA KUVULIWA SHELA ZANZIBAR
Kanisa la Minara Miwili, Unguja ambako Sista huyo na wenzake wanafanyia kazi.Watawa wa kike wa Shirika la Moyo Safi wa Maria, Mgolole, Morogoro, wanaofanya kazi katika Parokia ya Minara Miwili, Unguja,...
View ArticleHAYA NDIO MASHTAKA ALIYOSHTAKIWA SHEIKH PONDA JANA
Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi mkoa wa Morogoro kujibu mashitaka matatu yanayomkabili ambayo...
View ArticleAG Zanzibar: Mwarobaini wa Muungano Serikali tatu
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, amesema mfumo wa muundo wa Muungano wa Serikali mbili ni ghali zaidi kwa Zanzibar, huku...
View Article