Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Viewing all 20290 articles
Browse latest View live

HABARI MBAYA ZAIDI MASIKIONI MWA MASHABIKI WA MANCHESTER UNITED.

$
0
0

Manchester United manager Louis van Gaal now sends half his players off for international duty

Manchester United msimu huu imejaribu kujiimarisha katika idara ya ushambuliaji kwa kufanya usajili wa kuvunja rekodi nchini Uingereza wakiwa na nia ya kutaka kurejesha makali yao yaliyopotea msimu uliopita lakini uwepo wa majeruhi takribani tisa ndani ya kikosi cha mashetani wekundu hao kinaifanya klabu hiyo kuweweseka. 

 Paddy McNair is Manchester United's fifth defender currently sidelined through injury

Hivi karibuni klabu hiyo imetokea kumuamini mlinzi kinda Paddy McNair aliyekuwa akishirikiana vyema na Muajentina Marcos Rojo katika kuimalisha ulinzi wa katikati wa klabu hiyo lakini katika kile kinachoonekana kama kuandamwa na jinamizi la mkosi wa majeruhi kijana huyu naye amelipotiwa kupata maumivu ya misuli daraja la tatu aliyoyapata siku ya Jumapili wakati timu yake ya Manchester United ilipokipiga dhidi ya Everton na kupata ushindi wa magoli 2:1.

Kuumia kwa McNair kunatimiza idadi ya walinzi watano wa wa klabu ya Manchester United wanaokaa nje ya uwanja kutokana na majeruhi ambapo wengine ni Luke Shaw (kifundo cha mguu), Jonny Evans (kifundo cha mguu), Phil Jones (misuli) na Chris Smalling (nyama za paja).

 Luke Shaw sits injured on the floor during Sunday's 2-1 win over Everton

Wachezaji Ander Herrera (mbavu), Jesse Lingard (kifundo cha mguu), Michael Carrick (mguu) na Ashley Young (nyonga) nao wanaungana na walinzi hao watano katika orodha ya majeruhi ndani ya United wakati Wayne Rooney anaendelea kutumikia adhabu yake ya kadi nyekundu aliyoipata kwenye mchezo dhidi ya West Ham.

 Manchester United manager Louis van Gaal now sends half his players off for international duty
 
Wakati Manchester United ikiongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya majeruhi, Arsenal wao wanashika nafasi ya pili katika orodha hiyo na kibaya zaidi ni kuwa idadi kubwa ya wachezaji walio majeruhi kwenye kikosi cha Mfaransa Wenger ni wale wa kikosi cha kwanza. 
 
Mikel Arteta, Aaron Ramsey, Mathieu Debuchy, Olivier Giroud na Theo Walcott ni miongoni mwa wachezaji majeruhi wa klabu ya Arsenal na wengi wao ni wachezaji wa kikosi cha kwanza cha timu hiyo.
 
 Mathieu Debuchy was injured during the first-half of Arsenal 2-2 draw with Manchester City
 
Ifuatayo ni orodha ta majeruhi katika vilabu mbali mbali vya EPL mpaka hivi leo:


ORODHA YA WACHEZAJI MAJERUHI KWA VILABU VYA PREMIER LEAGUE KWA MSIMU WA 2014/2015.

Manchester United -9
Arsenal- 7
Burnley -7
Everton -7
Newcastle -7
West Ham -7
Liverpool- 6
Southampton- 5
Chelsea -4
Stoke City- 4
Swansea City- 4 
Aston Villa- 3
Hull City -3
Sunderland- 3
West Brom -3
Crystal Palace- 2
Leicester City- 2
Manchester City -2
Queens Park Rangers- 2

MSIINGIZE DINI KATIKA SIASA, RAIS AWAAMBIA MABALOZI

$
0
0
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na viongozi wa dini alipowasili katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam kufungua Mkutano  wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini. Mkutano huo wa  siku nne ulioanza jana unajulikana kama Tanzanian Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na viongozi wa dini alipowasili katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam kufungua Mkutano  wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini. Mkutano huo wa  siku nne ulioanza jana unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na viongozi wa dini alipowasili katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam kufungua Mkutano  wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini. Mkutano huo wa  siku nne ulioanza jana unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea machapisho toka kwa mwandaaji wa Mkutano wa viongozi wa dini chini ya taasisi ya Programme for Christian-Muslim
Relations in Africa (PROCMURA) yenye makao yake makuu mjini Nairobi, Kenya, 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano  wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam. Mkutano huo wa  siku nne ulioanza jana  unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano  wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam. Mkutano huo wa  siku nne ulioanza jana  unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano  wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam. Mkutano huo wa  siku nne ulioanza jana  unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano  wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam. Mkutano huo wa  siku nne ulioanza jana  unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na washiriki wa Mkutano wa  viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam. Mkutano huo wa  siku nne ulioanza jana  unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika pich ya pamoja na washiriki wa Mkutano  wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam. Mkutano huo wa  siku nne ulioanza jana  unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika pich ya pamoja na washiriki wa Mkutano  wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam. Mkutano huo wa  siku nne ulioanza jana  unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika pich ya pamoja na washiriki wa Mkutano  wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam. Mkutano huo wa  siku nne ulioanza jana  unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika pich ya pamoja na washiriki wa Mkutano  wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam. Mkutano huo wa  siku nne ulioanza jana  unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika pich ya pamoja na washiriki wa Mkutano  wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam. Mkutano huo wa  siku nne ulioanza jana  unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika pich ya pamoja na washiriki wa Mkutano  wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam. Mkutano huo wa  siku nne ulioanza jana  unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika pich ya pamoja na washiriki wa Mkutano  wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam. Mkutano huo wa  siku nne ulioanza jana  unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika pich ya pamoja na washiriki wa Mkutano  wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam. Mkutano huo wa  siku nne ulioanza jana  unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika pich ya pamoja na washiriki wa Mkutano  wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam. Mkutano huo wa  siku nne ulioanza jana  unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika pich ya pamoja na washiriki wa Mkutano  wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam. Mkutano huo wa  siku nne ulioanza jana  unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika pich ya pamoja na wafanyakazi wa hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam wanaowahudumia washiriki wa Mkutano  wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam. Mkutano huo wa  siku nne ulioanza jana  unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence. PICHA NA IKULU
………………………………………………………………….
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema
kuwa kuna ushahidi sasa unaothibitisha kuwa baadhi ya mabalozi wanaoziwakilisha
nchi zao hapa nchini wamekuwa wanachaganya dini na siasa wakitumia dini kuunga
mkono baadhi ya vyama vya siasa na shughuli za kisiasa nchini.
Aidha, Rais Kikwete amewaomba mabalozi hao “kuiokoa” Tanzania katika majanga
makubwa yanayoweza kuipata kwa kutumia dini kuendeleza siasa, hatua ambayo
ameielezea kama “njia ya hatari kweli kweli.”
Rais Kikwete alikuwa anazungumza usiku wa jana, Jumatatu, Oktoba 6, 2014, wakati wa
chakula cha usiku ambacho alikula na viongozi wa dini nchini ambao wanaendelea
na mkutano wao wa mwaka kwenye Hoteli ya White Sands ya Dar Es Salaam.
Mkutano huo wa siku nne ulioanza jana unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim
Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence ni mwendelezo
wa mikutano ya viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo
la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini. Mkutano wa mwisho ulifanyika
mwaka juzi, 2012 kwenye Hoteli hiyo hiyo.
Aidha, Mkutano huo ambao moja ya wadhamini wake ni taasisi ya Programme for Christian-Muslim Relations in Africa (PROCMURA) yenye
makao yake makuu mjini Nairobi, Kenya, unahudhuriwa na mabalozi 15 wanaoziwakilisha
nchi zao hapa nchini na mashirika kadhaa ya kimataifa likiwemo lile la Mpango
wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP).
Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao katika Mkutano huo ni wa Ujerumani, Iran, Marekani,

VODACOM YAZINDUA HUDUMA MPYA YA SIMU DOKTA LEO

$
0
0
Mkuu wa Idara ya Mawasiliano na Masoko wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani). Kulia ni Dk. Sulende Kubhoja.
Bingwa wa magonjwa ya mwili wa binadamu, Dk. Meshack Shimwela akijibu maswali ya waandishi wa habari (hawapo pichani).

Bingwa wa magonjwa ya watoto na moyo, Dk. Sulende Kubhoja akizungumza jambo wakati wa uzinduzi huo.
Kelvin Twissa akijibu maswali ya wanahabari (hawapo pichani). Kulia ni Dk. Sulende na Dk. Shimwela (kushoto).
Wanahabari na wadau mbalimbali wakiwa katika mkutano na Madaktari Bingwa.
KAMPUNI ya mawasilianao ya Vodacom Tanzania imezindua huduma mpya itakayowawezesha watumiaji wa mtandao wa kampuni hiyo kupata taarifa muhimu kuhusu afya kwa siku 30 mfululizo bila malipo. 
Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo inayojulikana kama Simu Dokta, Dk. Meshack Shimwela ambaye ni Bingwa wa magonjwa ya binadamu (Physician), alisema upatikanaji
wa taarifa sahihi za kiafya ni moja kati ya hatua muhimu za kupambana na magonjwa mbalimbali.
Dk. Shimwela alisema huduma hiyo itatoa mchango mkubwa katika kuuhabarisha umma juu ya masuala muhimu ya kiafya na kuongeza kuwa ujumbe wa mara kwa mara utawakumbusha watu na namna
ya kujikinga pamoja na kuchukua hatua sahihi juu ya magonjwa.
Aidha Dk. Shimwela aliipongeza kampuni ya Vodacom kwa kuzindua huduma hiyo kwa ajili ya umma na kusema kuwa ‘’ Inaendana na malengo ya milenia hasa namba sita linalosisitiza kupambana na
magonjwa mbalimbali, akiwataka Watanzania kuitumia huduma hiyo ambayo ni muhimu kwa kila mtu’’.
Kwa upande wake, Mkuu wa Idara ya Mawasiliano na Masoko wa Vodacom Tanzania , Kelvin Twissa alisema taarifa hizo zitakuwa katika mfumo wa ujumbe mfupi wa maneno (sms) na mteja atakuwa
akizipata kila siku kupitia simu yake ya mkononi bure kwa mwezi baada ya kujisajili kwa kutuma neno DAKTARI kwenda 15542.
‘’Lengo la huduma hii ni kuchochea na kusaidia wananchi kujua mambo mbalimbali ya kiafya ambayo wamekuwa hawayajui au kuwa na taarifa zisizo sahihi, taarifa hizo zitakuwa zikiandaliwa na madaktari
bingwa nchini wa magonjwa mbalimbali ambao wamejitolea kuelimisha jamii, pamoja na kusaidia ustawi wa jamii kwa kuwa na jamii yenye uelewa mkubwa wa mambo ya afya na kusaidia kuokoa maisha ya
watu wengi,’’ alisema Twissa.
Hii itakuwa ni huduma ya kwanza ya aina yake kutolewa na Vodacom ikiwahusisha madaktari bingwa wa magonjwa mbalimbali kwa kutoa taarifa kila siku za kuwasaidia kujiepusha na maradhi au kutoa
ahueni kwa magonjwa yanayowasumbua.
Madaktari hao bingwa ni pamoja na Dk. Meshack Shimwela (Bingwa wa magonjwa ya mwili wa binadamu (Physician). Dk. Sulende Kobhoja (Bingwa wa watoto na moyo (Paediatricia & Cardiologist), Dk.
Munawara Kaguta (Bingwa magonjwa ya wanawake/wajawazito (OBST/Gynecologist).
(Picha na Gabriel Ng’osha/GPL)

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI

$
0
0
MTU MMOJA ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA MAHONA SALASINI (30) MKAZI WA UPENDO – CHUNYA ALIUAWA KWA KUCHOMWA KISU KATIKA SIKIO LA KULIA NA KATIKA SHAVU LAKE LA KULIA NA MTU ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA GODFREY LAMS (30) MKAZI WA MBUYUNI – CHUNYA.
TUKIO HILO LIMETOKEA USIKU WA KUAMKIA LEO MAJIRA YA SAA 03:00 HUKO KATIKA KITONGOJI CHA MBUYUNI “B”, KATA YA MBUYUNI, TARAFA YA SONGWE, WILAYA YA CHUNYA, MKOA WA MBEYA.

CHANZO CHA MAUAJI NI WIVU WA KIMAPENZI, KWANI INADAIWA KUWA MAREHEMU ALIKUWA NA UHUSIANO WA KIMAPENZI NA MWANAMKE MMOJA AITWAYE MELENIA MGATA (24) MKAZI WA MBUYUNI AMBAYE AWALI ALIKUWA NA UHUSIANO NA MTUHUMIWA NA BAADAE WALIAACHANA/WALITENGANA.
MTUHUMIWA AMEKAMATWA. MWILI WA MAREHEMU UMEFANYIWA UCHUNGUZI WA KITABIBU NA KUKABIDHIWA NDUGU KWA MAZISHI.
TAARIFA ZA MISAKO:
KATIKA MSAKO WA KWANZA:
JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAWASHIKILIA WATU WANNE WALIOFAHAMIKA KWA MAJINA YA 1. GODFREY EDSON (19) MKAZI WA ILEMI 2. GUSTAN NAMBARO (21) MKAZI WA MWANJELWA 3. LAURENCE KAJIGILI (20) MKAZI WA MAKUNGURU NA 4. HONEST MBOYA (22) MKAZI WA ILEMI WAKIWA NA KETE 142 ZA BHANGI SAWA NA UZITO WA GRAMU 710.
WATUHUMIWA WALIKAMATWA MNAMO TAREHE 06.10.2014 MAJIRA YA SAA 11:00 ASUBUHI HUKO MAKUNGURU, KATA YA MANGA, TARAFA YA SISIMBA, JIJI NA MKOA WA MBEYA. BHANGI HIYO ILIKUTWA KWENYE MFUKO MWEUSI WA RAMBO. WATUHUMIWA NI WAUZAJI NA WATUMIAJI WA BHANGI HIYO. TARATIBU ZA KUWAFIKISHA MAHAKAMANI ZINAENDELEA
KATIKA MSAKO WA PILI:
JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAWASHIKILIA WATU WAWILI WALIOFAHAMIKA KWA MAJINA YA 1. BENEDICT ANDERSON (22) MKAZI WA MWAKA – TUNDUMA NA 2. MARTIN SINKALA (20) MKAZI WA CHIANGA – ZAMBIA WAKIWA NA NOTI MBILI BANDIA ZA KIMAREKANI ZENYE NAMBA HB 55874238D NA HE 38233643B.
WATUHUMIWA WALIKAMATWA MNAMO TAREHE 06.10.2014 MAJIRA YA SAA 01:00 USIKU KATIKA MSAKO WA PAMOJA ULIOFANYWA NA ASKARI POLISI WA TANZANIA WAKISHIRIKIANA NA ASKARI WA NAKONDE – ZAMBIA HUKO MAENEO YA MWAKA, KATA NA TARAFA YA TUNDUMA, WILAYA YA MOMBA, MKOA WA MBEYA.
KATIKA MSAKO WA TATU:
JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAWASHIKILIA WATU WAWILI WALIOFAHAMIKA KWA MAJINA YA 1. SIX MANAM (22) NA 2. NORAM MARCUS (20) WOTE RAIA NA WAKAZI WA NCHINI ETHIOPIA WAKIWA WAMEINGIA NCHINI BILA KIBALI/KINYUME CHA SHERIA.
WAHAMIAJI HAO HARAMU WALIKAMATWA MNAMO TAREHE 06.10.2014 MAJIRA YA SAA 01:00 USIKU BAADA YA KUFANYIKA MSAKO ULIOSHIRIKISHA ASKARI POLISI WA TANZANIA NA NAKONDE NCHINI ZAMBIA KATIKA MAENEO YA MWAKA, KATA NA TARAFA YA TUNDUMA, WILAYA YA MOMBA, MKOA WA MBEYA.
TARATIBU ZA KUWAKABIDHI IDARA YA UHAMIAJI KWA HATUA ZAIDI ZA KISHERIA ZINAENDELEA.
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHINA MSAIDIZI MWANDAMIZI WA POLISI AHMED Z. MSANGI ANATOA WITO KWA JAMII KUACHA KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA KWANI NI HATARI KWA AFYA YA MTUMIAJI. AIDHA ANATOA WITO KWA WAGENI KUFUATA TARATIBU ZA KUINGIA NCHINI ILI KUEPUKA MATATIZO.
Imesainiwa:
[AHMED Z. MSANGI – SACP]
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA.

TANZANIA KUTOKUWA MWENYEJI AFCON 2017

$
0
0
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limefahamishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kuwa Tanzania haitaweza kuwa mwenyeji wa Fainali za Afrika- AFCON 2017 kwa kuwa haijawahi kuandaa fainali zozote za vijana Afrika. Fainali hizo ni zile za vijana wenye umri chini ya miaka 17 na 20.
Hivyo, TFF inaelekeza nguvu zote katika kuandaa Fainali za Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka U17 mwaka 2019Tunapenda kuchukua fursa hii kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanazania, Jakaya Kikwete kwa kututia moyo katika kuomba uenyeji wa AFCON 2017.

Pia tunamshukuru Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara kwa juhudi binafsi alizozionyesha katika jitihada za Tanzania kuomba uenyeji  wa AFCON 2017
TFF inaamini kwa dhati kuwa uenyeji wa Afrika U17 2019 utaifungulia Tanzania milango ya kuandaa mashindano makubwa zaidi.
WANYARWANDA KUCHEZESHA MECHI YA STARS
Waamuzi kutoka Rwanda ndiyo watakaochezesha mechi ya Kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) kati ya Taifa Stars na Benin itakayofanyika Jumapili (Oktoba 12 mwaka huu) jijini Dar es Salaam.
Hakizimana Louis ndiye atakayeongoza waamuzi hao wa FIFA kwa kupuliza filimbi kwenye mechi hiyo itakayochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia saa 11 jioni. Atasaidiwa na Simba Honore na Niyitegeka Jean Bosco.
Mechi hiyo itatanguliwa na ile ya viongozi wa dini- Kiislamu vs Kikristo kudumumisha upendo, amani na ushirikiano itakayoanza saa 9 kamili alasiri. Tiketi za elektroniki zitakazotumika kwa mechi hiyo tayari zimeanza kuuzwa kwa kiingilio cha sh. 4,000 na sh. 10,000.
Wakati huo huo, Kocha Mart Nooij ameongeza wachezaji watatu kwenye kikosi cha Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager ili kukiongezea nguvu kwa ajili ya mechi hiyo.
Wachezaji walioongezwa ni Jonas Mkude na Joram Mgeveke kutoka timu ya Simba, na Gadiel Michael wa Azam.

KWA NAMNA HII KAZI IPO KWELI,AJALI ZITAISHA?

RAIS DK. SHEIN AMFUTA KAZI MWANASHERIA MKUU SMZ NA KUMTEUA MWANASHERIA MPYA

$
0
0
RAIS wa Zanzibar na Mweneyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein amemteua Mh. Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.

Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa leo na Katibu wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee, Dkt Shein amefanya uteuzi huo kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu 55(1) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984.
Mheshimiwa Said Hassan anachukua nafasi ya aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mh. Othman Masoud Othman ambaye Uteuzi wake umefutwa kwa mujibu wa Vifungu vya 53, 54 (1) na 55 (3) vya Katiba ya Zanzibar ya 1984 na Kifungu 12(3) cha Sheria ya Utumishi wa Umma Namba 2 ya 2011.
Kabla ya Uteuzi huo Mheshimiwa Said Hassan Said alikuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Uteuzi huo umeanza tarehe 07, October, 2014

SERIKALI YAONDOA ZUIO LA MIKUTANO YA VYAMA VYA SIASA LINDI NA MTWARA

$
0
0
Serikali imeondoa zuio la mikutano ya Vyama vya Siasa lililokuwa limetangazwa mwezi Mei mwaka juzi kuzuia mikutano hiyo kufanyika katika mikoa ya Lindi na Mtwara.
Zuio hilo limeondolewa leo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mathias Chikawe. Mikutano hiyo ilizuiliwa kutokana na vurugu za wananchi waliokuwa wakipinga ujenzi wa mradi wa bomba la gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam hali iliyosababisha kuvunjika kwa amani na utulivu katika mikoa hiyo.
Katika vurugu hizo, watu kadhaa walipoteza maisha na wengine kujeruhiwa huku magari na nyumba zikichomwa moto.

Hatua hii ya sasa imechukuliwa baada ya Serikali kuridhika kuwa hali na amani na utulivu imerejea katika mikoa hiyo na kuwa mikutano hiyo sasa inaweza kuendelea kwa kufuata sheria na utaratibu uliowekwa.

Aidha Jeshi la Polisi litaendelea kutoa ushirikiano katika uendeshaji wa mikutano ya kisiasa inayoendelea katika maeneo mbalimbali nchini na kuwa vibali vya mikutano vitaendelea kutolewa kufuatana na mazingira yatakayokuwepo katika eneo ambapo Chama husika kitakuwa kimeomba kibali.

Ni matumaini ya Serikali kuwa Vyama vya Siasa vitatumia fursa hii kuendesha mikutano yao kwa amani na utulivu kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kama taratibu za uendeshaji wa mikutano hiyo zinavyoelekeza.

Imetolewa na:  
Isaac J. Nantanga
MSEMAJI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
07/10/2014

HALIMA MDEE APELEKWA RUMANDE BAADA YA KUKOSA MDHAMANA

$
0
0
Mbunge mmoja wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA amepelekwa rumande baada ya kushindwa kutimiza vigezo vya dhamana mahakamani.
Halima Mdee ambaye pia ni mwenyekiti wa baraza la wanawake wa chama hicho pamoja na wenzake wanane, walifikishwa kwenye mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam wakituhumiwa kufanya maandamano yaliyopigwa marufuku.

RAIS KIKWETE ATEMBELEA DARAJA LA KIGAMBONI, MRADI WA NYUMBA ZA MAKAZI ZA NSSF KIJICHI

$
0
0
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akizungumza na Uongozi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakati alipotembelea ujenzi wa Daraja la Kigamboni,jijini Dar es Salaam .
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akipokea kadi maalum ya pongezi ya siku yake ya kuzaliwa leo Oktoba 07,2014 kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dkt. Ramadhan Dau.Rais Kikwete anasherehekea siku yake ya kuzaliwa leo,akiwa ametimiza miaka 64 toka kuzaliwa kwake.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiangaliwa maendeleo ya ujenzi wa Daraja Kigamboni jijini Dar es Saalam leo,wakati alipotembelea kuona maendeleo yake.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alieambatana na Waziri wa Ujenzi,Dkt. John Magufuli,Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Sadick wakitembelea eneo la Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam leo.ujenzi huo unafanywa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF).
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiendelea kutembelea eneo hilo.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Serikali,Viongozi wa NSSF pamoja na wakandarasi wanaojenga daraja hilo mara baada ya kumaliza kutembelea eneo la mradi huo.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na uongozi wa NSSF pamoja na wajenzi wa Nyumba za Makazi za shirika hilo zinazojengwa Mtoni Kijichi,jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipatiwa Maelezo ya Mradi wa Ujenzi wa nyumba za Makazi zinazojengwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) katika eneo la Mtoni Kijichi jijini Dar es salaam,wakati alipotembelea kujionea Maendeleo ya mradi huo leo.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete  akikata utepe kwenye jiwe la mradi wa nyumba za makazi zinazojengwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Mtoni Kijichi,jijini Dar es salaam leo
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza kwa makini,Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dkt. Ramadhan Dau alipokuwa akimfafanulia jambo kuhusu mradi huo wa Nyumba.Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Sadick.

MWANAMKE ALIYEJIBADILI JINSIA YAKE YA KIUME HUKO KENYA ASHINDA KESI

$
0
0
Mwanamke aliyebadili jinsia yake ya kiume na kuwa mwanamke na kutaka jina lake kubadilishwa kwenye cheti chake cha mtihani ameshinda kesi yake dhidi ya baraza la kitaifa la mitihani nchini Kenya.

Mahakama imelazimisha baraza hilo kumpa Adrey Mbugua cheti kipya kinachoonyesha hali yake mpya ya kijinsia hasa kwa kuwa anapokea matibabu ya kufanikisha jinsia yake kubadilika kabisa.Bi Mbugua alilishitaki baraza la kitaifa la mitihani nchini humo kwa kukataa kubadililisha utambulisho wa jinsia yake kwenye cheti hicho kutoka kwa Mwanamme na kumtambua kama mwanamke licha ya amri iliyotolewa katika gazeti rasmi la serikali.
Jaji Weldon Korir amelipatia baraza hilo hadi siku 45 kubadilisha jina la Adrey katika cheti hicho kutoka kwa 'Andrew Mbugua' na utambulisho wa mwanamume na kulibadilisha kuwa jina la kike la 'Audrey Mbugua' bila ya kuweka jinsia yoyote.
Jaji alisema kuwa jinsia ya Adrey kwenye cheti hicho haiongezi thamani yoyote kwa matokeo yake wala alama alizopata Audrey na kuondolewa kwake vile vile hakuna athari yoyote.

Aliongeza kuwa Audrey ameonyesha kuwa yuko tofauti na hivyo ndivyo anavyopaswa kutambuliwa.

'Audrey ni mwanadamu ambaye anajitambua kwama mwanamke wala sio kama mwanamume jinsia aliyozaliwa nayo,'' alisema jaji.

Jaji alisema kuwa katiba ya nchi inaamrisha watu kuwaheshimu wengine kama ipasavyo bila ubaguzi wowote na kwamba heshima hiyo inahusu mambo mengi ikiwemo mtu anavyotaka kutambuliwa.

Aliongeza kuwa ili Audrey kuhisi kuwa sawa anapaswa kukubalika kama alivyo na kumyima haki hiyo ya kubadilisha jina lake katika chati chake itakuwa ukiukwaji wa haki zake za kibinadamu.

Wakili wa Audrey, aliambia mahakama kuwa mteja wake alizaliwa na kasoro ya kijinsia na kwamba anaendelea kupokea matibabu.

RAIS JK KUPEWA ‘KATIBA MPYA’ LEO

$
0
0
Rais Jakaya Kikwete,
RAIS Jakaya Kikwete, leo atapokea ‘Katiba Mpya’ inayopendekezwa kutoka kwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum, Samuel Sitta, katika tukio linalotarajiwa kufanyika katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Bunge hilo maalum, lilihitimisha kazi yake ngumu ya kujadili rasimu ya katiba mpya iliyowasilishwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba Oktoba 4 mwaka huu, baada ya Kamati ya Uandishi chini ya Andrew Chenge kuwa imewasilisha katiba inayopendekezwa iliyokubaliwa na wajumbe kutoka Bara na Visiwani.


Katiba hiyo inayopendekezwa, ilipatikana licha ya baadhi ya wajumbe kutoka vyama vya upinzani kujitoa kwa madai ya kuburuzwa na wenzao wa chama tawala, kitendo kilichoibua mjadala wa kitaifa huku makundi mbalimbali yakipingana, wengine wakiwaunga mkono na wengine wakiwapinga.

ROSE MUHANDO NDANI YA KASHFA NZITO

$
0
0
MSANII nyota wa nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando anadaiwa kuingia mitini na shilingi milioni moja alizolipwa kwa ajili ya kutumbuiza kwenye uzinduzi wa albamu ya Injili ya John Lisu iitwayo Uko Hapa, Jumapili iliyopita.
Msanii nyota wa nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando.Kwa mujibu wa chanzo makini, Rose alimegewa kiasi hicho cha pesa na Kampuni ya Msama Promotion iliyoandaa uzinduzi huo uliofanyika ndani ya Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar Jumapili iliyopita.

“Rose jamani ana mambo! Mnajua kama amemliza Msama (mkurugenzi wa Msama Promotion) shilingi milioni moja? Alipewa ili atumbuize kwenye uzinduzi wa albamu ya John Lisu lakini akaingia mitini.“Mbaya zaidi kila alipopigiwa simu kuulizwa kwa nini hajafika Dar ile Jumamosi ili Jumapili awepo ukumbini akawa hapokei simu.
Kikaendeela: “Rose ananishangaza sana, sikuwahi kufikiria kama anaweza kufanya hivyo, kikubwa kinachowaumiza wengi ni kutopokea simu na ingekuwa vizuri kama angetoa taarifa mapema kwa kutohudhuria kwake na sisi tungejua cha kufanya mapema,” kilisema chanzo hicho ambacho kipo ndani ya waandaaji hao. 

Chanzo hicho hakikuishia hapo, kiliendelea kuanika kuwa shutuma za aina hiyo zimekuwa zikimuandama sana mwanamuziki huyo kiasi cha kushindwa kuaminika na kudai kuwa hana njaa ya kutokomea na pesa hiyo kwani ni kiasi kidogo sana kwake.

Msanii nyota wa nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando akizungumza jambo.Risasi Mchanganyiko lilimsaka bosi wa Msama Promotion, Alex Msama ambaye alikiri Rose kutotokea kwenye uzinduzi huo licha ya kulipwa kiasi hicho cha pesa na kilichomuumiza zaidi ni kutopokea simu za wasaidizi wake waliotaka kujua nini kilimpata.

“Aliniangusha sana maana hata yeye nilimtangaza sana kwenye vyombo vya habari kwamba atakuwepo, lakini matokeo yake ikawa kimya, sijui nini kimempata lakini nitatoa tamko siku mbili hizi,” alisema Msama kwa masikitiko makubwa.

Risasi Mchanganyiko lilimtafuta Rose Muhando kupitia simu yake ya kiganjani, alipokea na mambo yalikuwa hivi.
Mwandishi: Habari yako dada Rose?
Rose: Nzuri tu habari yako wewe
Mwandishi: Nzuri, mimi ni (akataja jina lake)
Rose: Hilo jina siyo geni kwangu.
Mwandishi: Mimi ni mwandishi wa Global.
Rose: Ahaaa, subiri kidogo nitoke nje niko benki nitakupigia. 
Baada ya kukata simu, Rose alikaa kimya kwa zaidi ya dakika tano. Mwandishi wetu alipopiga tena mara kadhaa simu yake haikupokelewa.

MWAKILISHI WA BONGO MUVI BUNGE LA KATIBA ANUSURIKA KIFO

$
0
0
Mwakilishi wa wasanii katika Bunge Maalum la Katiba (BMK), Paul Mtenda juzikati alinusurika kifo baada ya gari lake kugongana uso kwa uso na lingine katika eneo la Dumila mkoani Morogoro wakati akirejea jijini Dar es Salaam kutoka Dodoma. 
Mwakilishi wa wasanii katika Bunge Maalum la Katiba (BMK), Paul Mtenda. “Namshukuru Mungu sikuumia kwa sababu nilikuwa nimefunga mkanda, lakini kile kilikuwa ni kifo kwangu,” alisema mwakilishi huyo, mmoja wa wajumbe waliopitisha Katiba Mpya ya nchi inayopendekezwa.
Muonekano wa gari hilo baada ya ajali. Kutokana na kunusurika huko, Paul alisema alilazimika kufanya maombi maalum kwa ajili ya kumshukuru Mungu kwa kumuepusha na kifo, licha ya gari lake kuharibika vibaya.

MTANZANIA AUAWA KINYAMA MAREKANI.

$
0
0
Mama akimuaga marehemu mwanaye, Method Clecence Mengi.
MAMIA ya wananchi wa Manispaa ya Morogoro wakiongozwa na Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Morogoro, Mhashamu Telesphor Mkude wamejitokeza kumzika marehemu Method Clecence Mengi aliyeuawa kwa kuchomwa visu na watu wasiofahamika nchini Marekani.
Mengi alikumbwa na ukatili huo wa kuchomwa visu vitatu, tumboni viwili na kwenye paji la uso Septemba 17, mwaka huu nje ya nyumba yake, Texas nchini humo na watu hao bila kujulikana kisa na waliingia mitini baada ya tukio hilo la kikatili.
Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Morogoro, Mhashamu Telesphor Mkude akiuombea mwili wa marehemu Method Clecence Mengi. Mara baada ya tukio hilo, mwili wa marehemu ulichukuliwa na polisi kwenda hospitali kwa uchunguzi mpaka Oktoba 1, mwaka huu ulipotolewa na kuletwa nchini kwa mazishi.
Mwili wa Mengi aliyeishi nchini Marekani tangu mwaka 2000, uliwasili nyumbani kwa wazazi wake, alfajiri ya Oktoba 2, mwaka huu na baadaye saa tisa alasiri kupelekwa kwenye Kanisa la Mtakatifu Patrick kwa ibada ya mazishi yaliyohudhuriwa na umati mkubwa wa watu.

Waombolezaji wakiupokea mwili wa marehemu Method Clecence Mengi kwa ajili ya mazishi Marehemu alizikwa saa kumi kwenye Makaburi ya Kolla huku akiacha maswali ya namna alivyouawa na mkewe ambaye ni Mmarekani kutoonekana kwenye mazishi wala kuja Bongo.
Akizungumza baada ya mazishi hayo, mdogo wa marehemu Ribbon Mkali ambaye ni Diwani wa Kata ya Kilakala alisema:

Marehemu Method Clecence Mengi (kushoto) enzi za uhai wake ”Ni kweli shemeji yangu, mke wa marehemu hajafika nchini bado yuko Marekani na watoto wake wawili, zaidi ngoja tumalize msiba, tutaongea mengi.”

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

AFARIKI DUNIA NA WENGINE KUJERUHIWA BAADA YA MAGARI KUGONGANA

$
0
0
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI
“PRESS RELEASE” TAREHE 08.10.2014.
  • MTU MMOJA AFARIKI DUNIA NA WENGINE KUJERUHIWA BAADA YA MAGARI MAWILI KUGONGANA.
  • JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAMSHIKILIA RAIA NA MKAZI WA WA NCHINI ETHIOPIA KWA KOSA LA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI.
KATIKA TUKIO LA KWANZA:
MTU MMOJA ASIYEFAHAMIKA JINA WALA MAKAZI YAKE, UMRI ATI YA MIAKA 25 – 30 AMEFARIKI DUNIA WAKATI AKIWA ANAPATIWA MATIBABU BAADA YA GARI LENYE NAMBA ZA USAJILI T.397 AQT AINA YA ISUZU LILILOKUWA LIKIENDESHWA NA DEREVA AITWAYE NOEL MAHENGE KUGONGANA NA GARI LENYE NAMBA ZA USAJILI T.505 BYG/T.843 CUG AINA YA SCANIA LIKIENDESHWA NA DEREVA AITWAYE GODFREY PHILIMON (37) MKAZI WA TUKUYU WILAYA YA RUNGWE.

AJALI HIYO IMETOKEA MNAMO TAREHE 07.10.2014 MAJIRA YA SAA 09:45 ASUBUHI HUKO CHAPWA, KATA NA TARAFA YA TUNDUMA, WILAYA YA MOMBA, MKOA WA MBEYA KATIKA BARABARA YA MBEYA/TUNDUMA.
 AIDHA, KATIKA AJALI HIYO WATU WAWILI WALIJERUHIWA NA KULAZWA KATIKA HOSPITALI YA SERIKALI TUNDUMA AMBAO NI 1. SHABANI KIPANDE (22) MKAZI WA UYOLE NA 2. MUDDY MSELEMU (25). CHANZO CHA AJALI NI MWENDO KASI WA GARI T.397 AQT AINA YA ISUZU. DEREVA ALIKIMBIA MARA BAADA YA AJALI NA JITIHADA ZA KUMTAFUTA ZINAENDELEA. MWILI WA MAREHEMU UMEHIFADHIWA KATIKA HOSPITALI YA SERIKALI VWAWA – MBOZI.
 KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHINA MSAIDIZI MWANDAMIZI WA POLISI AHMED Z. MSANGI ANATOA WITO KWA MADEREVA KUWA MAKINI WANAPOTUMIA VYOMBO VYA MOTO IKIWA NI PAMOJA NA KUZINGATIA SHERIA NA ALAMA ZA USALAMA BARABARANI ILI KUEPUKA AJALI ZINAZOWEZA KUEPUKIKA. AIDHA, ANATOA WITO KWA YEYOTE MWENYE TAARIFA ZA MAHALI ALIPO DEREVA ALIYEKIMBIA KUZITOA KATIKA MAMLAKA HUSIKA ILI AKAMATWE NA HATUA ZA KISHERIA ZICHUKULIWE DHIDI YAKE.
 TAARIFA ZA MISAKO:
 JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAMSHIKILIA RAIA NA MKAZI WA NCHINI ETHIOPIA AITWAYE SEYIM LATABO (45) KWA KOSA LA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI.
 MHAMIAJI HUYO ALIKAMATWA MNAMO TAREHE 07.10.2014 MAJIRA YA SAA 07:50 ASUBUHI HUKO KATIKA STENDI YA MABASI – TUKUYU, KATA YA KAWETELE, TARAFA YA TUKUYU MJINI, WILAYA YA RUNGWE, MKOA WA MBEYA. MTUHUMIWA AMESHAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA HATUA ZAIDI ZA KISHERIA.
 KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHINA MSAIDIZI MWANDAMIZI WA POLISI AHMED Z. MSANGI ANATOA WITO KWA WAGENI KUFUATA TARATIBU ZA KUINGIA NCHINI ILI KUEPUKA MATATIZO NA MADHARA YANAYOWEZA TOKEA.
 Imesainiwa na:
[AHMED Z. MSANGI – SACP]
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA.

MAMA WEMA ATAKA MAHARI YA MILLIONI 100

$
0
0
Mama Wema na Wema Sepetu
Latest buzz is that Diamond Platnumz kumuoa Wema Sepetu ni lazima atoe shilingi milioni mil. 100. Kwa mujibu wa gazeti moja ni kuwa mama Wema sepetu anataka mahari ya milioni 90 na ushee ili binti yake huyo asiyechuja umaarufu awe mkwe wa mama Diamond.

Inadaiwa kuwa sherehe za birthday za Wema na Diamond zilizofanyika hivi karibuni na kugharimu pesa nyingi ndiyo zinadaiwa kumtia tamaa mama Wema na kutaka mahari hiyo kubwa kwa madai kuwa Diamond anazo pesa hashindwi kutoa pesa hiyo ili kumuoa Wema ambaye umaarufu wao wote wawili ni mkubwa sana hapa Tanzaia huku umaarufu wa Diamond nje ya Tanzania ukiwa mkubwa sana kuliko wa Wema.

Hata hivyo habari zaidi zinadai kuwa Wema mwenyewe yupo tayari kuolewa hata bure na Diamond huku mama mtu akitaka pesa hizo kubwa zinazotosha kujenga nyumba ya maana.

MAGAZETI YA UDAKU LEO

CLOUD AKANA KUMFITINI FRANK WA BONGO MUVI.

$
0
0

Msanii mkongwe wa filamu Bongo Issa Musa ‘Cloud’.
MSANII mkongwe wa filamu Bongo Issa Musa ‘Cloud’ amekana tuhuma zinazosambazwa mtandaoni kuwa alimfitini muigizaji mwenzake, Mohammed Mwikongi ‘Frank’ ili kumzuia asisafiri kuelekea Uingereza miezi michache iliyopita.“Mimi sikumfitini Frank, yule mtu alinifuata mwenyewe kwa makubaliano ya mdomo kuwa nikacheze filamu, sikuwa peke yangu, tuliongozana na kina Monalisa na Riyama, tatizo ni la huyo aliyenipeleka kule, nilifanya mambo kwa mazoea na ndiyo sababu anaamua kusambaza uongo dhidi yangu,” alisema mkongwe huyo
Msanii mkongwe wa filamu Mohammed Mwikongi ‘Frank’.Aliwasihi wasanii wenzake nchini kuacha kufanya kazi kwa mazoea bali wahakikishe wanaingia mikataba ya maandishi ili wawe na ushahidi wakati waliokubaliana nao kazi wanapoleta ujanjaujanja kama ilivyomtokea yeye katika safari hiyo ya Uingereza ambayo sasa inamletea uadui na Frank.
Viewing all 20290 articles
Browse latest View live
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>