Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

AJALI MBAYA YATOKEA ARUSHA LEO NI NJIA YA KUELEKEA NJIRO,MLIMA WA ESAMI WAWILI WAJERUHIWA

$
0
0
 HAYO MAGARI YANAYOONEKANA HAPO NI MSAFARA ULIOKUWA PAMOJA NA GARI ILIYOPATA AJALI WALIKUWA WAKIELEKEA MAKABURI YA NJIRO KUZIKA
 HUU NI UKINGO WA BARABARA YA ESAMI UKIWA UMETOKA BAADA YA AJALI HIYO
 GARI AINA YA TOYOTA CORONA T 528 AJK IKIWA PEMBENI BAADA YA AJALI

PICHA ZOTE NA DJ SEK
 WANAICHI WAKIJARIBU KUCHUNGULIA NDANI YA GARI IYO
PICHA ZOTE NA DJ SEK
PICHA ZOTE NA DJ SEK
PICHA ZOTE NA DJ SEK
 WANAINCHI WAKIJARIBU KUISOGEZA PEMBENI GARI ILIYOPATA AJALI
PICHA ZOTE NA DJ SEK
PICHA ZOTE NA DJ SEK BLOG
 MASHUHUDA WA AJALI HIYO ENEO LA TUKIO
 HICHI NI KIOO CHA NYUMA CHA GARI HIYO
 TAIRI IKIWA IMEPASUKA HAIFAI
 GARI IKIWA IMEHARIBIKA VIBAYA BAADA YA KUPINDUKA MARA 2
 WAPITA NJIA WAKIANGALIA AJALI HIYO
GARI AINA YA TOYOTA CARINA IKIWA KWENYE HALI MBAYA BAADA YA AJALI
                                                         PICHA ZOTE NA DJ SEK BLOG
AJALI MBAYA IMETOKEA ENEO LA ESAMI KARIBU NA KITUO CHA SDA MAENEO YA NJIRO MCHANA HUU,CHANZO CHA AJALI HIYO NI WENDO KASI ALIOKUWA NAO DEREVA WA GARI HIYO, NA PIA ALIKUWA AMELEWA CHAKARI,GARI HIYO ILIKUWA PAMOJA NA MAGARI MENGINE YAKIWA NA BENDERA YA CHADEMA NA WALIKUWA WAKIELEKEA MAKABURI YA NJIRO KWENDA KUZIKA.WATU WAWILI WALIJERUHIWA NA HAKUNA KIFO.HABARI NA PICHA KWA HISANI YA DJSEK BLOG

Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>