ANGALIA PICHA NYATI AZAA MTOTO ANAEFANANA NA BINADAMU.
Nchini Thailand, Nyati amezaaa mtoto anayefanana sana na mwanadamu. Hizi ni picha ya nyati zikionyesha uso na wa binadamu hasa yake ambayo ni sawa . Hata hivyo, mikono yake na miguu inafanana zaidi...
View ArticleMFALME WA POP DUNIANI MAREHEMU MICHAEL JACKSON ADAIWA ALITUMIA DOLA MILIONI...
MICHAEL Jackson 'Wacko Jacko' alilipa Dola za Marekani milioni 35 (Sawa na Shilingi za Tanzania zaidi ya bilioni 56) kama pesa za kunyamazisha wavulana wadogo zaidi ya 20 ambao aliwadhalilisha kijinsia...
View ArticleUSIKU WA MATUMAINI J’PILI HII: SAA 16 ZA MAAJABU
Diamond.Na Mwandishi WetuSIYO siri, Julai 7, mwaka huu (Siku ya Sabasaba), anga lote la Jiji la Dar es Salaam litasimama kwa muda wa saa 16. Burudani mfululizo pamoja na matukio ambayo hayajawahi...
View ArticleKUTANA NA SARAKASI ZA PREZZO KWA WAREMBO! JAMAA KATISHA SANA: SOMA HAPA:
CMB Prezzo.Makala: Sifael PaulJACKSON Ngechu Makini ‘CMB Prezzo’ alizaliwa siku ya Jumatano ya Januari 09, mwaka 1980. Ni rapa lejendari wa Kenya ambaye alikuwa mmoja wa mastaa waliowakilisha nchi zao...
View ArticlePREZZO & DIAMOND NDANI YA JUKWAA MOJA:TAMASHA LA USIKU WA MATUMANI:
Jackson Makini ‘Prezzo’.Na Lucy MginaMMOJA lazima akae! Julai 7, mwaka huu katika Uwanja wa Taifa kutakuwa na mpambano mkali wa stejini kati ya wasanii, Nassib Abdul ‘Diamond’ na Mkenya, Jackson Makini...
View ArticleJESHI LATOA MASWAA 48 KWA WANASIASA KUTAFUTA SULUHU YA MGOGORO VINGINEVYO...
HALI inazidi kutokota nchini Misri huku jeshi la nchi hiyo likitoa muda wa masaa 48 kwa wanasiasa kutafuta suluhu ya mgogoro unaoendelea nchini humo vinginevyo liingilie kati.Katika taarifa yake...
View ArticleAJALI MBAYA YATOKEA ARUSHA LEO NI NJIA YA KUELEKEA NJIRO,MLIMA WA ESAMI...
HAYO MAGARI YANAYOONEKANA HAPO NI MSAFARA ULIOKUWA PAMOJA NA GARI ILIYOPATA AJALI WALIKUWA WAKIELEKEA MAKABURI YA NJIRO KUZIKA HUU NI UKINGO WA BARABARA YA ESAMI UKIWA UMETOKA BAADA YA AJALI HIYO GARI...
View ArticleRAIS WA ZAMANI WA CHAD AKAMATWA NCHINI SENEGAL
Rais wa zamani wa Chad, Hissene Habre Rais wa zamani wa Chad, Hissene Habre akitafakari jambo.POLISI nchini Senegal , wamemkamata rais wa zamani wa Chad, Hissene Habre, aliyekuwa anatafutwa kwa madai...
View ArticleANGALIA PICHA ZA WATOTO WALIOTEMBELEA MAKABURI YA BABA ZAO MAKABURI YA WACHINA
Balozi wa China nchini Tanzania Lu Youqing, akitoa hotuba ya kuwakaribisha watoto sita ambao baba zao walifariki dunia wakati wa ujenzi wa Reli ya Tazara kwenye hoteli ya Great Wall Restaurant...
View ArticleANGALIA PICHA ZA MSAFARA WA WA RAIS OBAMA UBUNGO LEO
Gari lililokuwa limembeba Rais wa Marekani Barrak Obama likikatiza Ubungo jijini Dar es salaam leo mara baada ya kutembelea na Kukagua Mitambo ya kuzalisha umeme ya Symbion Leo Asubuhi.Rais obama...
View ArticleANGALIA PICHA ZA ZIARA YA OBAMA DAR LEO
Msafara wa Rais Barrak Obama Ukiwa Eneo la Mwenge Kuingia Barabara ya Sam Mujoma ukiwa njaini kuelekea Ubungo kukagua mitambo ya kuzalisha umeme ya symbion Leo asubuhiMsafara uliombeba rais wa Marekani...
View ArticleANGALIA PICHA ZA GEORGE BUSH ALIPOKUTANA NA RAIS OBAMA TANZANIA KABLA HAJAONDOKA
Rais Obama pamoja na Bush walikutana leo Asubuhi katika Ubalozi wa Marekani uliopo jijini Dar es Salaam na kufanya tendo la kutoa heshima zao kwa Walipoteza Maisha pamoja na wale wote walioathirika...
View ArticleANGALIA PICHA RAIS OBAMA AKIWA UBUNGO LEO
Rais Kikwete Akimtambulisha Katibu mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mh Elakim Maswi kwa Rais Barrack Obama wa Marekani wakati alipotembela mitambo ya kufua umeme ya symbion leo asubuhiRais Barrack...
View ArticleRAIS OBAMA AMALIZA ZIARA YAKE LEO
Ndege ya Iliyombeba Rais wa Marekani Air Force One Ikiondoka uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere leo mchana mara baada ya kumaliza ziara yake leo
View ArticleHOT NEWS: MCHUNGAJI wa Kanisa la Evangelical Assemblies of God of...
MCHUNGAJI wa Kanisa la Evangelical Assemblies of God of Tanzania(EAGT) la Iwambi Jijini Mbeya Daniel Mwasumbi akiwa mahakamani kungojea kesi yake.Wananchi Mbalimbali wakisubiri Kusikiliza Kesi ya...
View ArticleAngalia Picha Obama na Bush walipokutana katika Ubalozi wa Marekani jijini...
Rais Obama pamoja na Bush walikutana leo Asubuhi katika Ubalozi wa Marekani uliopo jijini Dar es Salaam na kufanya tendo la kutoa heshima zao kwa Walipoteza Maisha pamoja na wale wote walioathirika...
View ArticleJACOB STEVEN 'JB' AJIFUA KUMCHACHAFYA IDD AZZAN KATIKA USIKU WA MATUMAINI...
Jacob Steven 'JB' akijifua kwa ajili ya mpambano wake na Idd Azzan utakaofanyika katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2013.Jb akipiga pushapu kadhaa wakati wa maandalizi hayo.…Jacob Steven 'JB'...
View ArticleAFUNGWA MIAKA 20 JELA KWA KOSA LA KUGHUSHI NA KUIIBIA BENKI
Mtuhumiwa wa Kuiba na kugushi Deogratius Mpembe akiwa anatoka mahakamani baada ya kufungwa kifungo cha Miaka 20 Mtuhumiwa wa Kesi ya Kuiba na Kughushi Benki akiondoka...
View ArticleHUU NI UJUMBE WA RAY C AKIWASHUKURU MASHABIKI WAKE KWA KUMUOMBEA MPAKA...
Mwanadada Ray C leo hii kupitia ukurasa wake wa instagram ameachia ujumbe huu kwaajili ya mashabiki zake na kuwashukuru kwa support yao.
View ArticleHAYA NDO MAMILIONI YA PESA ALIYOINGIZA DIAMOND KWENYE SHOW ZA MWEZI ULIOPI
Staa wa Kesho, Diamond ameendelea kupiga hela kwa show nyingi zinazomfuata kila kukicha. Wingi wa show hizi unazidi kumfanya kuwa miongoni mwa wasanii wachache wa Tanzania wenye pesa nyingi...
View Article