Gari lililokuwa limembeba Rais wa Marekani Barrak Obama likikatiza Ubungo jijini Dar es salaam leo mara baada ya kutembelea na Kukagua Mitambo ya kuzalisha umeme ya Symbion Leo Asubuhi.Rais obama amemaliza ziara yake leo asubuhi ambapo alikuja jana na kupokelewa na Mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete.Rais Obama ameahidi Neema kwa bara la afrika kuhusu maendeleo ya nishati.
![]()

Magari ya Ikulu ya marekani kama yanavyoonekana yalivyokuwa yanakatiza Ubungo leo
Magari ya msafara wa Rais Barrak Obama hapa ukitoka ubungo kuelekea uwanja wa ndege ikiwa siku ya mwisho wa ziara ya rais huyo wa marekani leo asubuhi
Ulinzi ukiwa umeimarishwa kwa ajili ya ujio wa rais huyo leo
Picha na http://audifacejackson.blogspot.com