
Rais Kikwete Akimtambulisha Katibu mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mh Elakim Maswi kwa Rais Barrack Obama wa Marekani wakati alipotembela mitambo ya kufua umeme ya symbion leo asubuhi

Rais Barrack Obama akiteta jambo na Katibu mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mh Elakim Maswi wa kwanza kushoto, Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh Mecky Sadiq wa pili,Waziri wa Nishati Mh Sospeter Muhongo na rais kikwete nyuma leo

Picha na fullshangwe