MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA
TAARIFA YA HABARI
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanza nia (TPA) imetoa siku Kumi na Nne kwa Mkandarasi anayejenga gati la Mafia kuhakikisha kazi ya ujenzi wa gati hilo inakamilika ifikapo Julai 17 mwaka huu na kumtaka Msimamizi Mshauri wa mradi huo kuhakikisha anasimamia kaz hiyo ipasavyo vinginevyo hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
Akiongea wakati wa ukaguzi wa gati hilo Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Injinia Madeni Kipande alisema Mamlaka haiku tayari kusikiliza sababu zozote zitakazotolewa na Mkandarasi huyo kwa kuwa mradi huo umechukua muda mrefu kwa visingizio mbalimbali.
Alisema ni azma ya Serikali kuona mradi huo unakamilika haraka ili kuwapatia huduma bora ya usafiri wananchi wa Mafia ambao wamekuwa wakisumbuka na usafiri wa uhakika kwa kipindi kirefu.
Alimtaka Msimamizi Mshauri huyo Kampuni ya Ambicon Engineering kutekeleza wajibu wake wa kusimamia kazi hiyo ipasavyo na kubainisha kwamba Mamlaka ilikuwa imeshalipa kiasi kikubwa cha fedha kwa Mkandarasi wa ujenzi huo unafanywa kwa ubia na Kampuni za Midroc Foundation, US Bridge na Farm Equip na hivyo kutakakazi hiyo ikamilike katika kipindi hicho cha majuma mawili alichotoa.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu Injia Madani Kipande aliyeweka mkono kiunoni wakati akikagua gati la Mafia |
Mradiwaujenziwagati la Mafia ambaoumefikiatakribanasilimia 90 yaujenziumegharimutakribankiasi cha Tshs. 20 bilioni.
Mradihuuulianzamwaka 2009 naulitegemewakukamilikamwaka 2010. Kutokananasababumbalimbalizilizofanyakushindwakukamilikakwamradihuomwaka 2010,Mkandarasialiongezewamudahadimwaka 2012.
Gatihilolenyeurefuwa km 1.2 kutokanchikavuambalo litakuwanauwezowakufungamelizenyeukubwawatanilakisitalinauwezowakubebamaloriyamzigoyauzitowatanikumi.
Kaziambazobadohazikamilishwanipamojanaumwagajizegesehemuitakapofungameli, kuunganishanakufungavyumasehemuyakushushiamizigopamojanamipirayakuzuiameligatini (fenders).
Mwisho….
ImetolewanaIdarayaMawasiliano
MamlakayaUsimamiziwaBandari Tanzania (TPA)
S.L.P. 9184
DAR ES SALAAM
Simu: 2117816