NMB NA JITIHADA ZA KUSAIDIA SEKTA YA KILIMO TANZANIA
Maofisa wa NMB Idara ya biashara ya Kilimo, kwanza kulia ni Sierk Plaat ambae ni Mchambuzi Mwandamizi toka benki ya Rabobank, Robert Paschal Mkuu wa Idara Mikopo ya Kilimo NMB na Carol Nyangaro...
View ArticleSomalia yakosoa jeshi la Kenya Kismayo
Wanajeshi wa Kenya walisaidia Somalia kufurusha wapiganaji wa Al shabaab kutoka MogadishuKufichuliwa kimakosa kwa barua ya siri ya kidiplomasia kumefichua mgawanyiko mkubwa kati ya serikali ya Somalia...
View ArticleSERIKALI KUIGAWIA SEHEMU YA GESI YA MSIMBATI-MTWARA KAMPUNI YA NIGERIA.
MTAMBO WA KUCHIMBA MADINI. SERIKALI imesema itaipatia sehemu ya gesi ya Mtwara Kampuni ya Nigeria ya Dangote inayojenga kiwanda cha saruji kwa ajili ya kuzalisha umeme wake.Akizungumza na waandishi wa...
View ArticleMAMLAKA YA ELIMU TANZANIA YASAIDIA KUPANUA WIGO WA ELIMU JUMUISHI NCHINI
Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) katika kuendelea kutoa ruzuku kwa taasisi za elimu kwa lengo la kuongeza ubora katika utoaji elimu, pamoja na miradi mingine imelenga kupanua wigo wa elimu jumuishi kwa...
View ArticleVIJANA 20 WAJENGEWA UWEZO KUHUSU UTENGENEZAJI WA NISHATI YA JUA
Na Gladness Mushi, Manyara Ili kukabiliana na uharibifu wa mazingira nchini,wakala wa umeme nchini (Rea) imewajengea uwezo vijana 20 wa Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara,kwa kuwapatia mafunzo ya ufundi...
View ArticleANGALIA PICHA MACHAFUSI UKO EGYPT
Violence: The body of a Morsi supporter is seen on the ground after he was shot dead, allegedly by police, during the clashes in Cairo on FridayViolence: Shots were fired during a gathering of...
View ArticleMJUE MZEE ABDULLAH ALRUWEIHY ALIYETEMBEA KWA MKUU KUTOKA DAR HADI TANGA.
Mwarabu aliyetembea kwa Miguu Dar es salaam mpaka Tanga.Baba yake alitembea kutoka Dar es salaam mpaka Kigoma Yafuatayo ni mahojiano yaliyofanyika kati ya mwandishi na mzee Abdullah Mohammed...
View ArticleMRADI WA UJENZI WA GATI LA MAFIA:MKANDARASI ATAKIWA KASI 1
MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIATAARIFA YA HABARIMamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanza nia (TPA) imetoa siku Kumi na Nne kwa Mkandarasi anayejenga gati la Mafia kuhakikisha kazi ya ujenzi wa...
View ArticleMAMLAKA YA ELIMU TANZANIA YASAIDIA KUPANUA WIGO WA ELIMU JUMUISHI NCHINI
VIDOKEZO Taasisi 119 katika ngazi za elimu ya Msingi, Sekondar,i Vyuo vya Ualimu na Vyuo Vikuu vimepata vifaa na kuboreshewa miundo mbinu kwa ajili ya wanafunzi wenye mahitaji maalum Wanafunzi...
View ArticleMFANYABIASHARA MWENYE ASILI YA KIARABU MBARONI KWA KUMBAKA TAHIRA
Na Cresensia Kapinga,Songea.JESHI la polisi mkoani Ruvuma linamshikiria mfanyabiashara mmoja Jamali Nassoro (67) mwenye asili ya kiarabu mkazi wa eneo la Making'inda katika manispaa ya Songea kwa...
View ArticleHAWA WATAPANDA ULINGONI KESHO KATIKA TAMASHA LA MATUMAINI 2013
JACOB STEVEN (JB).HALIMA MDEE.PATRICK AMOTE (KENYA).ESTER BULAYA.VINCENT KIGOSI ‘RAY’. NA FULLSHANGWESHADRACK MUCHANJE (KENYA).THOMAS MASHALI.AUNT EZEKIEL.IDD AZZAN.FRANCIS MIYEYUSHO. JACQUELINE...
View ArticleYANGA YATOKA SARE NA KCC CCM KIRUMBA
Timu ya Young Africans ya jijini Dar es salaam leo imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya mabingwa wa Ligi Kuu ya Uganda timu ya KCC katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika leo jioni katika dimba...
View ArticleYAJUE MADHARA YA KUTOKULALA MUDA MREFU KWA MWANAUME
Usingizi ni dawa ambayo inaweza kukutibu bila wewe kujua, kwa hiyo inafaa uitumie mara nyingi.Ni wengi katika jamii ambao hawafahamu umuhimu wa kupata muda mzuri wa kulala katika maisha yao.Pia, wengi...
View ArticleMCHEZA SINEMA AJIUA ILI KUOMBOLEZA NA KUPINGA KUUAWA KWA MBWA WAKE
Mcheza sinema huyo kwenye picha anaitwa Nick Santino (47). aliamua kubugia makumi ya vidonge na kuacha ujumbe akilalamika kuhusu kuuawa kwa mbwa wake aitwaye Rocco. Rocco ilibidi auawe baada ya...
View ArticleDUNIA YETU;USOME HISTORIA YA MTOTO MWENYE MIAKA 5 ALIYEJIFUNGUA MTOTO
Lina Medina aliyezaliwa tarehe 27 Sept. 1933, huko Ticrapo, mkoawa Huancavelica, nchini Peru, anatajwa kua Mama mwenye umri mdogo kuwahi kutokea katika historia ya Ulimwengu. Tarehe 14 Mei 1939 Lina...
View ArticleANGALIA PICHA ZA WANAWAKE WAWILI WAZURI KULIKO WOTE DUNIANI
Fathima Kulsum Zohar Godabari who was once a royal Princess is now an official Queen in Saudi Arabia.She was recently photographed without niqab covering her face and the pictures were published on the...
View ArticleMwanamke wa miaka 53 Ajifungua Watoto Mapacha
Siku chache zilizopita Hospitali ya St Ives ya Huko Lagos ilipatwa na furaha isiyokuwa kifani baada ya mama mmoja alikuwa na umri wa miaka 53 alipojifungua mapacha wawili wa kiume. Mwanamke huyo...
View Article