Hivi karibuni, Matthew Knowles alifunga ndoa na model wa zamani Gena Charmaine ambaye alikuwa mchumba wake kwa muda wa mwaka mmoja na nusu, hii inamaanisha kwamba Beyonce na Solange wana haki zote za kumuita Gena mama kwa sababu ameolewa na baba yao ambae ni Matthew mwenye umri wa miaka 61, Gena ana 48 ambapo harusi hiyo inasemekana haikuhudhuriwa na mabinti hao wa mzee Matthew.
↧
Ulijua kwamba Baba yake Beyonce kaoa huyu mwanamke mwingine?
↧