Utamaduni wa Tanzania;Kanga, vazi linalowakilisha utamaduni wa Kitanzania
INGAWA Tanzania kuna makabila zaidi ya 120, kanga ni vazi linalotumiwa takribani na makabila yote na hasa katika shughuli za misiba, jambo linalodhihirisha kwamba ni sehemu ya utamaduni wa jumla kwa...
View ArticleMwalimu apigwa miaka 5 jela kwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanafunzi wake
Jeremy Forest amehukumiwa kifungo cha miaka 5 na nusu jela baada ya kukubali mashtaka yaliyokuwa yakimkabili mwalimu huyo wa Hisabati, Mwalimu huyo wa miaka 30 amehukumiwa kwa makosa ya kumteka binti...
View ArticleZITTO: NITAMTOA ROHO RAY
Zitto Kabwe.ZIKIWA zimebaki saa chache kulishuhudia Tamasha la Matumaini 2013, kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar, kesho, Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe ametamba kumkalisha mpinzani...
View ArticleUMASKINI NA TAMAA VINACHANGIA NGONO ZEMBE KWA WASICHANA
UMASKINI umechangia kwa kiasi kikubwa wasichana kufanya biashara ya ngono hali inayosababisha kudidimiza uchumi wa taifa, imeelezwa. Akizungumza wakati wa mkutano wa kuelisha wazazi kutambua afya ya...
View Articlewatu 30 wauawa kwenye shambulio shuleni Kaskazini-mashariki ya Nigeria
Potiskum, Nigeria (AP) – Waislamu wenye siasa kali wamewaua wanafunzi 29 na mwalimu mmoja katika shambulio kwenye shule ya bweni Kaskazini-mashariki ya Nigeria.Baadhi ya waathirika ambao bado...
View ArticlePiga kura hapa kumuokoa Nando asitoke kwenye jumba la Big Brother The Chase.
Nando mmoja ya wawakilishi wa Tanzania kwenye jumba la Big brother the chase, wiki hii amekuwa nominated kwenye group la watu ambao wanaoweza kutoka kwenye jumba hilo. Mtu wangu wa nguvu una nguvu na...
View ArticleANGALIA PICHA KIJANA ALIYEGONGWA NA TRENI BAADA YA KUWEKA HEADPHONE MASKIONI!
Jamaa mmoja amekubwa na mkasa wa aina yake pale alipogongwa na treni ambayo ilikuwa na kazi kubwa ya kumpggia honi ili atoke pembezoni mwa reli alipokuwa akitembea. Walioshuhudia tukio hilo wamesema...
View ArticleAngalia Picha ya Mapacha waliozaliwa tu wakashikana mikono yavuta hisia za wengi
Picha ya Mapacha ambao baada ya kuzaliwa tu walishikana mikono huko Uhispania. Inapendeza eeh!!!
View ArticleVURUGU ZAENDELEA NCHINI MISRI KUPINGA KUPINDULIWA KWA MORSI
Wananchi wa Misri wakitwangana wenyewe kwa wenyewe Na Flora Martin MwanoWatu zaidi ya ishirini na sita wamekufa katika ghasia zinazoendelea kuchacha nchini Misri baada ya jeshi la nchi hiyo kumuondoa...
View ArticleSERIKALI YA AFRIKA YA KUSINI YAKANA MZEE NELSON MANDELA KUWA HANA FAHAMU
SERIKALI ya Afrika Kusini imekanusha taarifa kuwa rais wa zamani wa nchi hiyo, Nelson Mandela, hana fahamu zake tena kama inavyoelezwa katika nyaraka za mahakama zilizowasilishwa mnamo 26.06.2013....
View ArticleWAMASAI WA MUNDULI MKOANI ARUSHA WATEMBELEA BANDA LA AICC LILILOPO KATIKA...
by JOHN BUKUKU on JULY 6, 2013 in BIASHARA with NO COMMENTSKatibu Mhitasi wa Arusha Intarnational Confrerence Centre. Joyce Mollel akiwaonyesha baadhi ya akinamama wa kikundi cha Masai cha Munduli...
View ArticleMAJAJI WATEMBELEA KATIKA BANDA LA MAGEREZA
Bw. Alpherio Nchimbi ambaye pia ni Mshauri Mwelekezi katika Ujenzi wa Mradi wa Kiwanda cha kutengeneza Kofia ngumu Gereza Kuu Ukonga akiwaeleza Majaji ubora wa Kofia ambazo zitaanza kuzalishwa hapa...
View ArticleDK.SHEIN ATEMBELEA MAONESHO YA SABA SABA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Leila Issa Ali,katika mabanda ya washiriki wa maonesho ya sabasaba alipotembelea jijini Dar...
View ArticleWakati 50 Cent akiwa anatumia nguvu nyingi kujisafisha na tuhuma za kumpiga...
Daphne JoyKufuatia tuhuma za 50 Cent kumpiga Mama wa Mtoto wake [Shaniqua Topmkins] ambazo zimevuma sana kwa wiki hii ambapo pia rapa huyu ametumia nguvu nyingi sana...
View ArticleHAKEEM NA FATIMA WAAGA SHINDANO LA BBA USIKU WA LEO; MWANAMZIKI WA KIBONGO...
Ikiwa leo ni siku ya 42 ndani ya jumba la BBA,kama inavyokuwaga siku zote kila jumapili huwa ni eviction day yaan lazma mshirik hata mmoja aage mashindanoMwanadada Fatima kutoka Malawi ndiye...
View ArticleMurray bingwa mpya wa Wimbledon
Andy MurrayAndy Murray amekuwa Muingereza wa kwanza kushinda taji la Wimbledon tangu mwaka 1936, ikiwa ni zaidi ya miaka 77.Murray amemfunga Novak Djokovic raia wa Serbia kwa seti tatu kwa kwa bila...
View ArticleUlijua kwamba Baba yake Beyonce kaoa huyu mwanamke mwingine?
Beyonce na Solange wamepatiwa mama mpya na baba yao ambaye pia ni mkuu wa Music Entertainment world na pia alikuwa manager wa kundi la Destiny Child.Matthew Knowles ambaye ndiyo baba yake Beyonce na...
View ArticleMATESO NA MANYANYASO KATIKA NDOA;MASUALA YA UBAKAJI NA KUPIGA WANAWAKE...
Kweli huu ni ubinadamu jamani?Dunia imeharibika watu wanazidi kupotoka, angalieni haya mambo yanavyozidi kuenea. Mambo kama vile unyanyasaji, kuna ukatili mwingi sana hapa duniani ambao zaidi ni juu ya...
View ArticleOXFORD NA VODACOM ZAUNGANA KUENDELEZA ELIMU NCHINI
Meneja Mauzo na Masoko wa Oxford University Press Bi.Fatma Shangazi(kulia)akimuonesha Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu (kushoto) na Meneja maendeleo ya kibiashara wa kampuni hiyo...
View Article