
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
JESHI LA POLISI TANZANIA.
PRESS RELEASE. 05.07.2013
TAARIFA YA MAKOSA MAKUBWA YALIYOLIPOTIWA MKOANI KATAVI KUANZIA TAREHE 04.07.2013HADI TAREHE 05.07.2013.
01: BASI LAACHA NJIA NA KUTUMBUKIA MTONI NA KUSABABISHA VIFO NA MAJERUHI:
Mnamo tarehe 05/07/2013 majira ya saa 00:05hrs huko sitalike wilaya ya mlele mkoa wa katavi gari no:t.909 azt nissan diesel mali ya kampuni ya sumry likiendeshwa na dereva Stephano s/o Chimane @ Ntungu liliacha njia na kutumbukia katika mto stalike @ mto iku na kusababisha vifo kwa watu 9 akiwemo 1.Isabela d/o Mwasunga ,18yrs, Mnyakyusa, mwanafunzi wa Kenswa sekondari, 2.Boniface s/o mwasunga,14yrs,mwanafunzi wa Ikondamoyo,3.frida d/o nikutusya, 44yrs,mkazi wa mpanda hoteli, 4. Selevesta s/o Sinkala,62yrs,Mpimbwe,mkulima wa Sibwesa, 5.Dominika d/o Evarist, 19yrs, mkonongo,mwanafunzi wa Inyonga ,6.Pendo d/o ?,Mfanyakazi wa Maridadi bar 7.Sifoliona d/o Martine,miezi 4, mtoto,mkazi wa Majengo na wengine wawili bado hawajafahamika kwa majina na majeruhi kwa watu 50 1. Zephania s/o Ernest, 26yrs, mzinza, mwalimu wa Geita, 2.Stanslaus s/o Malimba, 53yrs, Mkonongo, mkulima wa,inyonga, 3.Helieth d/o Malekela, 18yrs, mbena, mwanafunzi wa makanyagio,4.Mwita s/o Bita,43yrs Mjita,mwalimu wa Nsimbo,5.Lidia d/o Atenye,39yrs,mfipa ,mkulima wa Ikola,6.Amina d/o Juma,33yrs,mbende,mkulima wa makanyagio,7G.5296 pc Abel wa polisi wilaya Mpanda,8.Abeli s/o