Utukutu wa mtoto Range wamrudisha mzazi darasani
Range (kushoto) akifanya mazoezi ya uashi katika banda la Veta huku baba yake (Jackson) akimwangalia. Range Jackson anaonekana kwenye banda la maonyesho la Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi (Veta)...
View ArticleWATU 40 HAWAJULIKANI WALIPO BAADA YA AJALI YA TRENI YA MAFUTA KUSHIKA MOTO
Maafisa wa usalama nchini Canada wamesema shughuli za kuwatafuta watu 40 ambao hawajulikani waliko, baada ya ajali treni ya mafuta kushika moto mwishoni mwa wiki iliyopita, imetatizika kutokana na...
View ArticleWaziri Mkuu wa Zimbabwe Tsvangirai azindua rasmi kampeni yake kuelekea...
Waziri Mkuu wa Zimbabwe Morgan Tsvangirai amezindua kampeni yake siku ya Jumapili, huku akilalamika kuwa hakuna mageuzi yaliyofanyika kuhakikisha uchaguzi wa Julai 31 unakuwa huru na wa...
View ArticleWafuasi wa Morsi wauawa nchini Misri
Takriban watu 15 wameuawa mjini Cairo kufuatia ghasia nje ya kambi ya kijeshi ambapo wafuasi wa aliyekuwa rais wa taifa hilo Mohammed Morsi wanaamini kiongozi huyo anazuiliwa.Haya yanajiri huku ghasia...
View ArticleMAANDAMANO YAENDELEA MISRI
MAANDAMAANO ya makundi hasimu yalifanyika katika mji mkuu wa Misri, Cairo na katika maeneo mengine kote nchini humo Jumapili, pale wafuasi na wapinzani wa Rais aliyeng’olewa madarakani Mohammed Morsi...
View ArticleDC Ilala ahimizwa wawekezaji katika soka
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond MushiMKUU wa wilaya ya Ilala, Raymond Mushi amewasisitiza wadau mbali mbali kuwekeza katika mpira wa miguu kwani hutoa ajira nyingi kwa vijana na kuwafanya wajipatie...
View ArticleTaarifa ya Polisi ya ajali na makosa yaliyoripotiwa mkoani Katavi
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHIJESHI LA POLISI TANZANIA.PRESS RELEASE. 05.07.2013TAARIFA YA...
View ArticlePAPA FRANCIS AWAKUMBUKA WAHAMIAJI ITALIA
Papa Francis amesherekea maisha ya mamia ya wahamiaji wa kiafrika waliokufa maji wakijaribu kufika baya Ulaya. Akiwa ziarani katika kisiwa cha Lampedusa Papa aliabiri mtumbwi mdogo na kuweka shada la...
View ArticleMAKAO MAKUU YA MKOA MPYA WA SONGWE KUBAKI MKWAJUNI
Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na Usalama Mkoa wa Mbeya, Abbasi Kandoro ambaye pia ndiye Mkuu wa Mkoa Mbeya akiongea na vyombo vya habari ofisini kwake.Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama...
View ArticleMEMBE AFUNGUA MKUTANO WA TUME YA USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA INDIA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akifungua rasmi Mkutano wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano (Joint Permanent Commission-JPC) kati ya Tanzania na...
View ArticleWAZIRI MKUU PINDA AMEAGIZA MKURUGENZI NA MKUU WA WILAYA WANGING'OMBE KUHAMIA...
Askofu wa Jimbo la Njombe Alfred Maluma akieleza malengo ya Kuusaidia Mkoa wa Njombe. Mama Tunu Pinda naye apongeza Jitihada za Wakazi wa Wilaya ya Wanging'ombe. Mratibu wa Ujenzi wa Chuo cha Kilimo...
View ArticleMlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu Mbeya;
UGONJWA wa kipindupindu, umeingia katika wilaya ya Kyela na kuua watu wawili na 39 wakiwa wamelazwa.Taarifa zinasema ugonjwa huo umeibuka wilayani humo wiki iliyopita ukisadikika kuanzia katika Kijiji...
View ArticleSABABU TANO ZILIZOWAFANYA CHADEMA WAGOME KUSHIRIKI "KONGAMANO LA AMANI"...
Ndugu waandishi wa habari,Tumewaiteni hapa mchana huu kwa dharula, kutokana na kujitokeza kwa jambo moja muhimu sana katika mustakabali wa chama chetu na taifa kwa ujumla. Jambo lenyewe ni hili:Kwa...
View ArticleKANDORO AKANA KUPOKEA RUSHWA KUUGAWA MKOA WA MBEYA
MKUU wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro ameonya baadhi ya watu wanaomtuhumu kupokea rushwa katika kupitisha maamuzi ya kuugawa mkoa wa Mbeya hali iliyopelekea kikao cha ushauri cha mkoa(RCC) kupitisha...
View ArticleMBUNGE WA DODOMA MJINI AWATEMBELEA WAHANGA WAMLIPUKO WA PETROL KATIKA...
Mbunge wa Dodoma mjini Mh Dr David Mallole, alipoenda kuwatembelea wahanga wa mlipuko wa Petrol katika hospital ya mkoa wa Dodoma,General Hospital na kutoa pole kwa wagonjwa waliopatwa na janga hilo...
View Article