Huko nchini Hispania imefunguliwa shule ya kutoa taaluma ya ukahaba ambapo mwanafunzi atatakiwa atoe Kiasi Cha Euro 100 tu kuanza mafunzo ambapo wamehakikishiwa upatikanaji wa kazi mara tu watakapohitimu mafunzo yao! Miongoni mwa mambo watayokuwa wanafundishwa ni historia ya mapenzi Matangazo ya shule hiyo yalianza kuonekana na tayari imeshaanza uandikishaji na kupokea wanafunzi
↧