M2 THE P ASHINDWA KUONGEA YALIYOWAPATA MPAKA NGWEAR AKAFARIKI AISHIA KUSEMA HAYA
Kwa mara ya kwanza toka kitokee kifo cha rapper Albert Mangweha (Ngwair) rafiki yake wa karibu ambae ni M2TheP waliekua pamoja Afrika Kusini mpaka umauti umemkuta Ngwair, amefanya interview kwa mara ya...
View ArticleAngalia Picha ya Star Aliye Chaguliwa Kuigiza Kama 2 Pac Kwenye Filamu Ya...
Wakati tunasubiri filamu ya maisha ya 2 Pac, Huyu star amechaguliwa kuigiza kama 2 Pac kwenye filamu ya maisha ya mwanzilishi wa Death Row Records Suge Knight. Bonyeza Read More Kufahamu Zaidi.Kwenye...
View ArticleWazazi watakiwa kuwashirikisha watoto wa kike kupanga kiwango cha mahari
WAZAZI na walezi wametakiwa kuacha tabia ya kupanga mahari ya watoto wao bila kumshirikisha binti husika na wakome kuchukua mahali hiyo inayotolewa kwa ajili ya msichana kuolewa kwani wanatenda...
View ArticleANGALIA PICHA ZA MADHARA YA TATOO KWENYE MWILI
Hii ni kwa wale wote wapenda kujichora miili ya kwa inayojulikana kama tattoo
View ArticleAngalia Picha za Rekodi za Maajabu
T Angalia Picha zifuatazo zikikonesha washindi wa mashindano na wavumbuzi mbali mbali wa maajabu duniani wakipata jaza zao baada ya kutunukiwa na Guinness.he Discovery Science Center in Santa Ana,...
View ArticleShule ya "Ukahaba" yafunguliwa Uhispania
Huko nchini Hispania imefunguliwa shule ya kutoa taaluma ya ukahaba ambapo mwanafunzi atatakiwa atoe Kiasi Cha Euro 100 tu kuanza mafunzo ambapo wamehakikishiwa upatikanaji wa kazi mara tu...
View ArticleAngalia Picha mwanamke aliyepata ajali na kichwa kunasa katika kioo cha gari,...
Akiwa kanasaWakimtoa Dereva kwanzaWakianza kumuokoa yeyeHatimaye ameokolewaMwanamke mmoja raia wa China amenusurika kifo baada ya gari aliliokuwa amepanda kupata ajali mbaya iliyomsababishia yeye...
View ArticleAliyekuwa jambazi na muuaji apewa cheo cha Uzee wa Kanisa
Ule usemi usemao, "Shetani akizeeka.. unaweza ukatumiwa hapa, lakini hili limekuwa tofauti kwani mtuhumiwa huyo hayjazeeka na kuwa mzee hata hivyo Ataa Ayi, ambaye ni mfungwa katika gereza moja huko...
View ArticleHUYU NDIYE KIKONGWE KABISA ANAYEISHI DUNIANI ALIYEZALIWA KARNE YA 19.
Jiroemon Kimura alipokuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa hivi karibuni.Japo bado kuna wanawake 21, lakini katika umri wa miaka 116 ni mtu wa mwisho aliye hai.Baada ya kifo cha James Emmanuel 'Doc'...
View ArticleSomalia yazidi kukabiliwa na changamoto sugu ya ufisadi ambapo zaidi ya...
Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wamesema licha ya serikali ya Somalia kupata uongozi mpya bado ufisadi nchini humo unaendelea kuwa tatizo kubwa.Wataalamu hao wamesema zaidi ya asilimia 80 ya fedha...
View ArticleKoo zinazopigana Kenya zatoa wito wa kusimamisha vita kwa ajili ya Ramadhani
Kiongozi wa jamii ya Gare Sultan Yussuf Ibrahim (kulia) na mwenzake ambaye hakutambulika wa Degodia wakipeana mikono tarehe 4 Julai kama ishara ya kumaliza uadui baina ya jamii zao mbili. [Na Bosire...
View ArticleHIKI NDO KICHAPO WANACHOPEWA WAASI WA M23 NA JESHI LA KONGO ( FARDC )
Goma -DRC. WAKATI mapigano yakizidi kuwa makali kati ya wanajeshi wa DR Congo (FARDC) na kundi la waasi wa M23, wanajeshi wa DRC wako hatarani kushitakiwa kwa tuhuma za kuwatesa waasi na kunajisi...
View ArticleWAFUASI WA MURSI WAINGIA MITAANI TENA
Ghasia kati ya wafuasi na wapinzani wa rais aliyeondolewa madarakani Mohammed Mursi zimesababisha mauaji ya watu watatu katika mji wa Mansura nchini Misri. Kulingana na taarifa kutoka idara ya afya...
View ArticleASSOCIATION OF AFRICAN CENTRAL BANKS (AACB) EASTERN AFRICA SUB-REGION 13TH...
Profesa na gavana kutoka uganda akitoa shukurani kwa niaba ya wenzake wakati wakijitambulisha mbele ya wanahabari wakiwa kwenye mwanzo wa mkutano wao wa siku 3 ulimalizika jana jijini hapa Pichani ni...
View ArticleMSWAADA WA NDOA UMEWASILISHWA BUNGENI KENYA
Mswaada unaolenga kuoanisha sheria za ndoa nchini Kenya umewasilishwa bungeni.Baadhi ya mabadiliko yaliopendekezwa katika mswada huo ni pamoja na kuhalalisha ndoa za wake wengi mbali na kuziimarisha...
View ArticleSerikali kutambua raia wake kupitia taarifa za DNA.
Mkuu wa kitengo cha Sayansi ya Makosa ya Jinai Biologia na Vinasaba kutoka Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali(GCLA) Bi. Gloria Machuve(kulia) akizungumza na vyombo vya habari kuhusu matumizi ya...
View ArticleMTAFARUKU WA VIMINI HOSPITALI TEULE DODOMA
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma Dk. Ezekiel Mpuya amesema tangazo lililotolewa hospitalini hapo la kuwataka watu kuvaa mavazi ya heshima wanapoingia hospitalini hapo lilikuwa likihusu...
View ArticleFAIDA ZITOKANAZO NA GESI ASILIA NCHINI
Kamishina wa Nishati na Masuala ya Petroli toka Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Hosea Mbise akizungumza na waandishi wa habari kuhusu faida zitokanazo na gesi asilia, kushoto ni Mhandisi Seleman...
View Article