Mtuhumiwa Hery Kileo mwenye nguo nyeusi pamoja na wenzake wanaoshtakiwa kwa kesi ya kumwagia tindikali Musa Tesha wakiingia mahakamani jana mjini Tabota.
Mke wa Henry Kileo akiwa na M/Kiti wa Chadema Tabora Mbaruk pamoja na ,
Kwa maoni ya Wakili Msomi PK ni kwamba Jaji alichukulia kesi hiyo na pia akaheshimu na kuzingatia hali halisi ya Wakili, kwamba anatoka mbali Dar es salaam na hivyo akaamuru Hoja za pande zote mbili zipelekwe kimaandishi kuwaondolea usumbufu hasa wapeleka maombi ambao ni sisi tunaosafiri kila siku. Na kwa sababu hizo basi tar 30july Jaji atataja tar ya uamuzi.