Sumaye aonya 'wauza unga' wasije wakaongoza Tanzania
Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye amewatahadharisha Watanzania kuwa makini na watu wanaotaka madaraka kwa kugawa fedha katika sehemu mbalimbali za nchi au majimbo akionya wanaweza kujikuta...
View ArticleRAIS KIKWETE AINGILIA KATI KODI ZA LINE AMEZITAKA MAMLAKA HUSIKA ZIKUTANE...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na maofisa waandamizi wa Wizara ya pamoja na wajumbe wa Chama cha Makampuni ya Simu za mkononi alipokutana nao kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es...
View ArticleASKARI POLISI WATIMULIWA CHUONI MOSHI
Wanafunzi 117 wa Polisi, wamefukuzwa katika Chuo cha Taaluma na Mafunzo ya Polisi (MPA), kilichopo Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro.Waliotupiwa virago na kufutwa kwenye kozi hiyo ni wale...
View ArticleMsafara wa Baba Mtakatifu Francis 1 wapotea njia nchini Brazil ukitokea...
Maelfu ya wananchi wa Brazil katika mitaa ya Rio de Janeiro wameivamia na kulizunguka gari lilokuwa limembeba Baba Mtakatifu Francis 1 wakati msafara wake ulipopotea njia ulipokuwa ukitokea uwanja wa...
View ArticleVAZI LA NUSU UCHI LAZUIA NDOA KUFUNGWA JIJINI DAR....PADRI AGEUKA MBOGO NA...
KIVAZI cha ndugu wa maharusi, kimesababisha patashika katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Mtakatifu Peter, baada ya Paroko Msaidizi wa Kanisa hilo, Padri Paulo Haule, kusitisha ibada mpaka mhusika...
View ArticleANGALIA PICHA YA MATUKIO YALIOJIRI KESI YA MAKADA WA CHADEMA
Mtuhumiwa Hery Kileo mwenye nguo nyeusi pamoja na wenzake wanaoshtakiwa kwa kesi ya kumwagia tindikali Musa Tesha wakiingia mahakamani jana mjini Tabota.Mke wa Henry Kileo akiwa na M/Kiti wa Chadema...
View ArticleKAHABA LANASWA LIKIFANYA NGONO KATIKA MAKABURI YA MALAPA BUGURUNI
LICHA ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani watu wengi kuogopa kufanya maovu, jimama anayekwenda kwa jina la Joyce Benson (34), amefumwa akifanya ngono katika makaburi ya Malapa, Buguruni jijini Dar.Joyce...
View ArticleSHILOLE MATATANI WIZI SIMU ZA DIAMOND
Stori:Shakoor Jongo na Musa MatejaSTAA wa filamu na muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ .ameingia matatani akidaiwa kuingia mitini na simu tatu za mkononi alizoaminiwa nchini Afrika ya...
View ArticleMTANZANIA MWENYE WATOTO KUMI SOMA NA SHUHUDIA MWENYEWE
Bi. Rejina Moshwa (37) mkazi wa Kijiji cha Isoso akizungumza na mwandishi wa habari kutoka Clouds FM Aziz KindambaPaschal Kulwa Manyinzi (42) mkazi wa Kijiji cha Isoso akiwa katika picha na baadhi ya...
View ArticleMKE AKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUPANGA NJAMA ZA KUMUUA MUMEWE.
Mke wa ndoa wa mfanyabiashara wa madini Arusha, Jackson Manjuru, amekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kupanga njama za kuua mumewe.Akizungumza na mwandishi juzi, Manjuru anayeishi Moshono jijini hapa,...
View ArticleTANSEED INTERNATIONAL NA MIKAKATI YA KUHAMASISHA WAKULIMA KUTUMIA MBEGU BORA...
Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Joel Bendera (katikati) akidadisi jambo kwaMkurugenzi wa Tanseed Inetrnational, Isaka Mashauri kulia kwake wakati wa maonyesho ya mbegu bora ya mpunga ya TXD 306 (Saro 5)...
View ArticleBREAKING NEWS: GONZALO HIGUAIN NA PEPE REINA WANAFANYIWA VIPIMO VYA AFYA NAPOLI
Inaonekana Arsenal imepoteza nafasi ya kumsajili mshambuliaji wa kiargentina Gonzalo Higuain ambaye imemuwania kwa muda mrefu baada ya mshambuliaji kukaribia kujiunga na klabu ya Napoli ya Italia.Kwa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUTURU NA WANANCHI MKOANI ARUSHA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa tano kutoka kushoto) akishiriki swala ya Magharibi na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu wa Mkoani Arusha, wakati...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA MABADILIKO YA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa kuhusu mabadiliko ya Tabianchi, Chanagamoto za Maendeleo na ukuaji...
View ArticleIRENE UWOYA AMSHIKA UGONI LUCY KOMBA.STORI NZIMA
NYOTA wa filamu za Kibongo, Irene Pancras Uwoya ‘Mama Krrish’ ametoa kali ya mwaka baada ya kudai kwamba amemshika ugoni msanii mwenzake, Lucy Komba mara baada ya kuziona picha za msanii huyo akiwa na...
View ArticleMAMA SALMA KIKWETE AKUTANA NA MAMA CHERRIE BLAIR NA AFUTURISHA VIONGOZI NA...
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na mgeni wake Mama Cherrie Blair wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, mara baada ya kufanya mazungumzo yao.Mke wa Rais...
View ArticleDC MSTAAFU NDG JOHN SHILATU AFARIKI DUNIA
Familia ya Mzee Shilatu wa Mbagala wanasikitika kutangaza kifo cha Baba yao Mpendwa JOHN SHILATU kilichotokea katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili tarehe 23/07/2013 saa 10 jioni kutokana na shinikizo...
View ArticleRONALDO KUMALIZIA SOKA YAKE JIJINI MADRID.
Haendi kokote: Rais wa Real Madrid Florentino Perez akiwa na Cristiano Ronaldo. Rais wa Real Madrid Florentino Perez amethibtisha kuwa mshambuliaji wake Critiano Ronaldo atamalizia kazi ya soka akiwa...
View ArticleRONALDO AMVUNJA MKONO SHABIKI KWA SHUTI LA UMBALI WA MITA 35
Cristiano Ronaldo alimuacha mtoto mdogo shabiki wa klabu ya Bournemouth akiwa amevunjika mkono kutokana na shuti lake la mita 35 lilotokana na faulo wakati wa wa mchezo wa Real Madrid dhidi ya timu...
View ArticlePOLISI RUVUMA WAKAMATA MENO YA TEMBO WILAYANI TUNDURU
Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Ruvuma Deusdedit Nsimeki akiangalia pembe zilizokamatwa——————————————–JESHI la polisi mkoani Ruvuma kwa mara nyingine limefanikiwa kukamata nyara za serikali katika wilaya...
View Article