Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

HEMED PHD ANUSURIKA KUTANDIKWA MAKOFI JUKWAANI NA MREMBO

$
0
0


Ni usiku wa jana wakati PHD akizindua wimbo wake wa Rest of my life ambapo hit maker huyo wa Mama kimbo aliingia kwa stayle ya kuspray perfume kwa fans wake na kwa bahati isiyo nzuri kwa PHD alispray perfume kwa mwanadada wa kitasha aliyekuwa akishout kwa kumwita hemed on stage.....
Hemed alikosea  kwa kudhani kuwa mwanadada naye anataka apigwe unyunyu...Alimfuata  na  "tomasa toma style"  alafu  akamtandika  unyunyu  na hiyo ikawa ndiyo mistake kwa mkali huyo wa music na bongo movie... kumbe bi dada alimaindi...!!!

Alisubiri mpaka hemed alipomaliza kufanya yake on stage , then akamfuata backstage na   kutaka  kumnasa  makofi  huku  akitema  cheche.

Tazama video hapo chini  jinsi mwanadada alivyokuwa akimkoromea PHD

Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>