ANGALIA PICHA ZA TUKIO ZIMA LA JAMBAZI LILILOUAWAWA MOROGORO
Mwili wa mwanaume anayedaiwa kuwa ni jambazi ukiwa katika hospitali ya mkoa wa Morogoro mara baada ya kufikiwa kutoka katika kijiji cha Mwanzomgumu baada ya majambazi watatu wenye silaha kumjeruhi...
View ArticleMSICHANA WA MIAKA 16 APIGWA RISASI BAADA YA KUKUTWA AKIVUNJA AMRI YA SITA...
JESHI la polisi limekumbwa na kashfa nyingine baada ya askari wake kudaiwa kumpiga risasi msichana wa miaka 16 baada ya kumkuta akivunja amri ya sita ndani ya gari.Msichana huyo..(Jina tunalihifadhi)...
View ArticleWAARABU WATATU WALIOHUSISHWA NA MLIPUKO WA BOMU KANISANI WAMEACHIWA HURU
Raia watatu wa UAE waliokuwa wamekamatwa wakikuhusishwa na tukio la mlipuko wa Bomu huko Arusha wameachiwa huru na wamesharejeshwa nchini mwao...Taarifa zinadai kwamba, Raia hao hawahusiki na...
View ArticleSAFARI YA WANAJESHI WETU HUKO KONGO NA MBINU ZA KITOTO ZA WAASI WA M23
Watanzania tunafuraha kubwa kwa sababu wapiganaji wa Jeshi letu la Wananchi Tanzania (JWTZ) wamewasili mji wa Goma, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kujiunga na mpango wa Umoja wa...
View ArticleSAKATA LA WASICHANA 11 KUSHOOT VIDEO YA NGONO NA MBWA , VIONGOZI WA DINI WAJA...
Habari iliyosambaa hivi sasa kupitia mitandao ya jamii nchini Kenya na kuwashangaza wakenya wengi ni kuhusu mwanaume mmoja raia wa kigeni na wasichana 11 waliokamatwa Mombasa kwa tuhuma za kushoot...
View ArticleMAJINA YA WATUHUMIWA WALIOACHIWA HURU PAMOJA NA RIPOTI YA POLISI KUHUSU BOMU...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA MAENDELEO YA UPELELEZI WA TUKIO LA MLIPUKO WA BOMU KATIKA KANISA LA MT. JOSEPH – OLASITI JIJINI ARUSHA LILILOTOKEA TAREHE 05/05/2013Ndugu wanahabari,...
View ArticleANGALIA PICHA ZA WAFANYAKAZI WA CLOUDS NA WASANII WAKILA BATA MARA BAADA YA...
DJ PQDJ FETTY NA DJ HUNTER ZE SNYPEDJ HUNTERIZZO BUSINESS ,DJ ABOU MKALI & BOSS NGASADJ S DAIZO & IZZO BDJ CUTTER & BAUCHADJ PQ &DJ ABOU MKALIS DAIZO & BAUCHAS DAIZO ,PQ & DJ...
View ArticleWAFANYAKAZI WA AIRTEL TANZANIA WATUNUKIWA TUNZO BAADA YA KUHITIMU MAFUNZO YA...
Meneja Mauzo wa Airtel Bw Stratory Mushi (katikati) akiwa katika picha ya pomaja na wahitimu mafunzo ya mauzo na usambazaji yanayoendeshwa na Airtel Centum Sales University (ACSU) wakati wa tafrija...
View ArticleWANAWAKE WAFANYAKAZI WA NBC WAZINDUA MTANDAO WAO
Msaidizi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Rajinder Singh (wa pili kulia) akikata utepe kuzindua Mtandao wa Jukwaa la Wanawake Wafanyakazi wa NBC (NBC-WNF) jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki....
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MCHUNGAJI DKT. MATHEW BYAMUNGU NA MKEWE...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mchungaji Dkt. Mathew Byamungu, wakati akimkaribisha Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Mei 13,...
View ArticleRAIS KIKWETE AZINDUA JENGO LA SAYANSI KATIKA KITUO CHA TAASISI YA KIMATAIFA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais mstaafu wa Nigeria na Balozi wa heshima wa IITA Chief Olesegun Obasanjo na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Benjamin William Mkapa wakizindua rasmi jengo la sayansi...
View ArticleKUTOKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO
Waziri wa ` Ujenzi John Magufuli akisoma hotuba ya bajeti ya Wazara yake, Bungeni Mjini Dodoma, May 13, 2013. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Kigoda,...
View ArticleWAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA, BERNARD MEMBE AMTEMBELEA...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akisalimiana na Mhe. Francisco Montecillo Padilla, Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa hapa nchini mara baada ya...
View ArticleBARAZA LA TAIFA LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI (NEEC) KWA KUSHIRIKIANA NA...
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) Dkt. Annacleti Kashuliza akifungua mafunzo ya wiki 3 ya Vijana 40 waliohitimu masomo ya elimu ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam...
View ArticleANGALIA PICHA ZA MABAKI YA MWILI WA MWANAKE YAKUTWA PORINI MJINI IRINGA LEO
Hii ni sehemu ya mwili iliyosalia kama inavyoonekana Mabaki ya mwili huo yakiwa eneo la tukio kama yanavyoonekana Askari kanzu wakiuchukua mwili huo baada ya kukutwa porini Baadhi ya nguo...
View ArticleJESHI LA POLISI RUVUMA LAKAMATA MENO YA TEMBO KILO 18 YENYE THAMANI YA DOLA...
ASKARI wa Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma mwenye Begi akiwa amekamata pembe za Ndovu kwa Buruhani Mtini (48) ambaye alikuwa anasafirisha pembe hizo kutoka Wilayani Namtumbo kupeleka Songea.Meno ya Tembo...
View ArticleHEMED PHD ANUSURIKA KUTANDIKWA MAKOFI JUKWAANI NA MREMBO
Ni usiku wa jana wakati PHD akizindua wimbo wake wa Rest of my life ambapo hit maker huyo wa Mama kimbo aliingia kwa stayle ya kuspray perfume kwa fans wake na kwa bahati isiyo nzuri kwa PHD alispray...
View Article