Kikosi cha matarumbeta kikiongoza gwaride maalum lililoandaliwa kwa ajili ya siku ya mashujaa mkoani Morogoro leo. Leo ni siku ya maadhimisho ya mashujaa nchini na kitaifa yamefanyika katika mkoa wa kagera mgeni rasmi alikuwa ni Mh. Rais Wa Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania, Jakaya Kikwete.
katika mkoa wa Morogoro maadhimisho hayo yamefanyika katika mnara wa mashujaa na mgeni rasmi katika maadhimisho hayo alikuwa mkuu wa Mkoa wa Morogoro Joel Bendera
Kikosi cha jeshi la wananchi wakiwasili eneo la Mnara wa mashujaa tayari kwa maadhimisho hayo yaliofanyika kitaifa mkoani kagera leo
Jeshi la polisi