TAMAA YA MALI,MWANAMKE NUSURA AUE MME NA WATOTO ILI ABAKIE NA MALI NYINGI
"Mke wa ndoa inadaiwa ilipanga na majambazi wamuue mumewe ili aweze kumiliki utajiri alionao"Arusha. Mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite mkazi wa Moshono, anadaiwa kutaka kuuawawa na mke wake wa ndoa...
View ArticleUJUMBE MZITO TOKA KWA UWOYA KWENDA KWA JOHARI
Katika pita pita zetu leo hii tuliweza kupata ujumbe mmoja mzito na wa kutia moyo toka kwa mwanadada Irene Uwoya aliomwandikia mkongwe wa bongo movies nchini kwa upande wa kinadada Blandina Chagula...
View ArticleJOKATE, MUSSA KIPANYA WAZUA JAMBO
Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ katika pozi na Mtangazaji Mussa.MWANAMITINDO na mtangazaji maarufu Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na Mtangazaji Mussa wa runinga wamezua jambo kufuatia picha zinazodhihirisha...
View ArticleDIWANI CCM AMTWANGA MKEWE
Mke wa Diwani, Imelda Chambo akiwa kulazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro.Kwa mujibu wa mashuhuda, ugomvi huo ulichukua nafasi Alhamisi iliyopita saa 6 usiku nyumbani kwa wanandoa hao, Kihonda....
View Articlekazi ni muhimu kwa maendeleo
Wakazi wa mji wa Morogoro wakiwa wamebeba mazoa kuyapeleka sokoni mkoani morogoro
View ArticleTAIFA STARS YATUA UGANDA KUIVAA THE CRANES
Taifa Stars imewasili salama hapa Kampala tayari kwa mechi ya marudiano ya mchujo dhidi ya Uganda (The Cranes) kuwaniatiketi ya kucheza Fainali za Tatu za Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN)...
View ArticleMBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO KUSINI AHAMASISHA SHUGULI ZA MAENDELEI JIMBONI KWAKE
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mh Innocent Kalogeris Akiwa pamoja na wananchi wa jimbo hilo wakati akihamasisha wananchi hao wakati wa ufunguzi wa barabara ya kuunganisha kijiji cha mlalo na tawa...
View ArticlePapa apinga madawa ya kulevya
Baba mtakatifu akiwa katika ziara yake nchini BrazilKiongozi wa kanisa katoliki, Baba mtakatifu Francis, amekosoa vikali mipango ya kutaka kuhalalisha madawa ya kulevya Amerika ya Kusini.Aliyasema hayo...
View ArticleNYUMBA YAUNGUA MOTO NA KUTEKETEZA MAGARI SITA ENEO LA MAJUMBA SITA UWANJA WA...
Hivi ndivyo mabaki ya nyumba hiyo ambaye mmiliki wake hakujulikana mara moja inavyo onekanaHaya Ndiyo Magari yaliyo teketea kwa moto, ambapo eneo ambalo nyumba hiyo iliunguwa ilikuwa karibu na...
View ArticleIRINGA WAADHIMISHA SIKU YA MASHUJAA
Leo ni siku ya maadhimisho ya mashujaa nchini Tanzania na kitaifa yamefanyika katika mkoa wa kagera,ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Mh. RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, JAKAYA KIKWETE.Katika...
View ArticleSOMA ALICHOANDIKA MNYIKA LEO KUHUSI KODI YA SIMU
Leo tarehe 25 Julai 2013 chombo kimoja cha habari kimemnukuu Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti Andrew Chenge (Mb) akisema kwamba uamuzi kuhusu kodi/tozo ya kadi/laini za simu haukuwa wa kubahatisha....
View ArticleVIKOSI VYA JESHI VILIVYOSHIRIKI SHEREHE YA MASHUJAA MOROGORO LEO
Kikosi cha jeshi la wananchi walioshiriki kwenye maadhimisho ya siku ya mashujaa mkoani morogoro leoKikosi cha matarumbeta kilichoongoza maadhimisho hayo leo mkoani MorogoroKikosi Kutoka jeshi la...
View ArticleHousigeli asimulia jinsi alivyoutoa uhai wa mtoto wa jirani
Msichana wa kazi aitwaye Enjoy Cleofasi (19), hivi karibuni alipandisha mapepo na kumtwanga mwandishi wa habari aliyekuwa akimhoji kuhusiana na tukio la mauaji lililotokea mjini DodomaTukio hilo la...
View ArticleANGALIA PICHA ZA MAADHIMISHO YA SIKU YA MASHUJAA MKOANI MOROGORO LEO
Kikosi cha matarumbeta kikiongoza gwaride maalum lililoandaliwa kwa ajili ya siku ya mashujaa mkoani Morogoro leo. Leo ni siku ya maadhimisho ya mashujaa nchini na kitaifa yamefanyika katika mkoa wa...
View ArticleMWANAMKE ANYONGWA SHINYANGA BAADA YA MUMEWE KUMTUHUMU KUTOKUWA MWAMINIFU
Na Kadama Malunde, Shinyanga Mwanamke mmoja Happiness Luhende mwenye umri wa miaka 28 mkazi wa Lubaga katika manispaa ya Shinyanga, ameuawa kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kunyongwa na mume wake kwa...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO KUMBUKUMBU YA MASHUJAA WALIOPIGANA...
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka Mkuki katika Mnara wa Kumbukumbu ya Mashujaa wa Vita vya Kagera uliopo...
View Article