
Diamond Platinumz ametoa picha nyingine ambayo inawaonyesha yeye na ndugu yake Romie Jones wakiwa wadogo, kuna picha kadhaa ameshawahi kuzitoa na zilionekana hapahapa millardayo.com. ambapo leo icheki hii picha tena kwenye enzi zao za utotoni wakiwa na baiskeliya kitoto ambayo ni moja ya vitu vikubwa sana kwa mtoto kuwa nayo kwa kipindi hicho, kwa wale mliokuwa nazo kama hizi BMX najua tunaelewana… ilikua nomaa