Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Browsing all 20290 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANESCO YAANZISHA KITENGO CHA KUSHUGHULIKIA WATEJA WAKE WAKUBWA,CTI WASEMA NI...

KAIMU MKURUGENZI MTENDAJI WA TANESCO eNG. FELCHESMI MRAMBA AKIFAFANUA JAMBO KUHUSU UHAKIKA WA UMEME KATIKA JIJI LA DARESALAAMShirika la TANESCO limelihakikishia shirikisho la viwanda na wafanyabiashara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC HAI AWACHARUKIA WATENDAJI VIJIJINI

Mkuu wa Wilaya ya Hai Novatus Makunga, amewatupia lawama viongozi wa vijiji kwa kukosa uwajibikaji bora kwa wananchi kwa kutoitisha vikao vya kisheria. Makunga ameyasema hayo wakati wa mkutano na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA YETU YA LEO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA OBAMA ILIVYOTISHA TANZANIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARI KAMILI KUKAMATWA KWA MBUNGE JOSHUA NASSARI

 MBUNGE wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (CHADEMA), juzi alishikiliwa kwa zaidi ya saa tatu na Jeshi la Polisi mkoani Arusha kwa tuhuma za kumshambulia kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hussein...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFA KWA KUGONGWA NA GARI

Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Siprian Kiwango,mwenye umri kati 60-70 mkazi wa Shimbi amefariki dunia papo hapo baada ya pikipiki aliyokua akiendesha kugongana na gari ndogo.Duru za Jeshi la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI TAREHE 28.07.2013

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARUA YA WAFUNGWA WA KITANZANIA WALOKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA HONG KONG..

Barua kwa lugha ya Kiingereza.Source--jamiiforum

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA ZA MSANII DIAMOND ENZI ZAKE ZA UTOTO

Diamond Platinumz ametoa picha nyingine ambayo inawaonyesha yeye na ndugu yake Romie Jones wakiwa wadogo,  kuna picha kadhaa ameshawahi kuzitoa na zilionekana hapahapa millardayo.com. ambapo leo icheki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAVIS MOSHA AHOJIWA NA VOA (VOICE OF AMERICA)

Edgar Davis Mosha mtoto wa mfanyabiashara tajiri na maarufu boss wa kampuni ya DELINA  Bwana Davis Mosha ahojiwa na VOA (Voice of America). Edgar na baba yake wametua kwa kishindo nchini Marekani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI YAUA KIBAHA JANA USIKU...

 Ajali hiyo imetokea maeneo ya Kibaha jana usiku..kwa mujibu wa shuhuda wetu ahmed ajali hiyo ilitokea baada ya magari matatu yamegongana uso kwa uso...malori mawili na escudo ambapo dereva wa escudo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AKIWA WILAYANI KARAGWE

 Umati uliojitokeza katika sherehe za uzinduzi wa wilaya mpya ya Kyerwa Umati uliojitokeza katika sherehe za uzinduzi wa wilaya mpya ya Kyerwa. Umati uliojitokeza katika sherehe za uzinduzi wa wilaya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIOPENDEKEZA SERIKALI TATU NI WAZEE WANAOSUBIRI KUFA"...NAPE NNAUYE

MZIMU wa serikali tatu bado unaendelea kukitesa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambapo jana, Katibu Mkuu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, alipinga tena uwepo wa serikali tatu na kudai kuwa waliotoa maoni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAULI YA NAPE YAMKERA REGINALD MENGI

Kauli ya Nape kuwa "Waliopendekeza serikali tatu ni wazee wanaosubiri kufa" yamkera Mzee Mengi...  - Amshauri Nape amwachie Mungu afanye kazi yake kwani ndiye anaamua nani atangulie!

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HITLER, KIONGOZI WA CHAMA CHA WAFANYAKAZI NCHINI UJERUMANI Julai, 1921

Adolf HitlerAdolf Hitler awa kiongozi wa chama cha Wafanyakazi cha Ujerumani cha National Nationalist German Workers PartyAlizaliwa April 20, 1889 katika kijiji kimoja kidogo kilichokuwa mpakani mwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Huu Ni Ugunduzi Mwingine Wa Ajabu Ambao Wanasayansi Wameufahamu Kutoka Katika...

Wanasayansi wataalam wa masuala yan Anga kutoka European Space Agency/NASA, Solar and Heliospheric Observatory (SOHO) wamegundua kuwepo kwa shimo kubwa katika jua, mfano wa doa jeusi katika upande wake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIONGOZI WA UN KIVU KASKAZINI

Kiongozi wa UN Kivu kaskazini asema mara nyingine kuwa siyo Umoja wa mataifa utakao leta amani ya kudumu Drc bali ni raia wa Congo wenyewe na ni lazima viongozi wa Congo wakiwemo wabunge kuelezea raia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Papa Francis awaunga mkono vijana wanaodai mabadiliko ya jamii

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis akiwa Rio De Jeneiro,Brazili Na Martha Saranga AminiKiongozi wa kanisa katoliki duniani papa Francis amewaunga mkono vijana waliochukua hatua ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mali yapongezwa kwa uchaguzi mkuu

Wapiga kura kwenye foleni MaliUchaguzi mkuu wa Urais nchini Mali umesifiwa kwa ambavyo ulifanywa. Rais wa Ufaransa, Francois Hollande, amesema kuwa wapiga kura wengi walijitokeza kupiga kura wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zoezi la kuhesabu kura laendelea nchini Mali baada ya upigaji kura kamalika

Wapiga kura waliojitokeza kumchagua Rais mpya wa MaliZoezi la kuhesabu Kura nchini Mali limeendelea baada ya kutamatika kwa upigaji kura za Uraisi. Mamilioni ya wananchi walijitokeza kushiriki zoezi...

View Article
Browsing all 20290 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>