Adolf Hitler
Adolf Hitler awa kiongozi wa chama cha Wafanyakazi cha Ujerumani cha National Nationalist German Workers Party
· Alikuwa kiongozi wa Chama cha NAZI mwaka 1919 alijiunga na baadaye akawa kiongozi mwaka 1921, na akiwa kiongozi mwaka 1923 alifanya majaribio ya mapinduzi yaliyojulikana kama “ Beer Hall Putsch”
· Aliwahi kuwa Kansela wa Ujerumani mwaka 1933-1945 na wakati huo huo akwa kiongozi wa nchi kuanzia mwaka 1934 hadi 1945. Hata hivyo anakumbukwa sana barani Ulaya kutokana na jitihada zake za kuimarisha Ufashisti pia nafasi aliyoitumia kuongoza katika vita kuu ya pili ya Dunia.
· Alifariki kwa kujiua kabla ya kutekwa Aprili 30, 1945. Yeye kwa asili ni raia wa Austria licha ya kwamba akiwa na umri wa miaka 3, familia yake ilihamia eneo la Kapuzinerstrasse lililoko Pasau nchini Ujerumani na wakiwa huko alilazimika kupata uraia wa Bavarian wa taifa la Austro-Baravarian na kuacha kuwa raia halisi wa Austria.