Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

Sherehe ya National Night Out iliyofanyika Hyattsville's maryland

$
0
0
Ndugu jamaa na marafiki waliokusanyika kwenye sherehe ya National Night Out Iliofanyika Jana Aug 6, 2013 miitaa ya Hamilton  kati ya barabara ya Queens Chapel na Road Ager Mjini Hyattsvilla Maryland
Jana mida ya 6:15 p.m Hyattsville walifanikisha sherehe ya taifa ya usiku maalumu wa (National Night Out event) iliofanyika Mitaa ya Hamilton  kati ya Road Queens Chapel na Road Ager mjini Hyattsvilla Maryland
Sherehe za National Night Out mwaka huu zimefanyika Nationwide community event mbazo imeshirikishwa kijaami katika Umma kwa kujali zaidi jumuiya zote za hapa nchini, katika kipindi hiki cha msimu wa joto, sherehe hizo viliambatana na michezo mbali mbali ya watoto, kama zile urukaji wakamba michezo ya kuteleza, snow cone apamoja na  cotton candy prizes, moon bounces, crafts for sale, popular Mandy the Clown,  na Bike Rodeo sponsored by Arrow Bicycle.

Baadhi ya familia na watoto wao wakipaka rangi za mchezo wa uso kwenye sherehe ya National Night Out Iliofanyika Jana Aug 6, 2013 miitaa ya Hamilton  kati ya barabara ya Queens Chapel na Road Ager Mjini Hyattsvilla Maryland

Watoto wakishangaa Polisi waliopanda farasi kwaajili ya tukio hilo lilifanyika Jana  Jioni

Watoto wakimuangalia Bibi Mandy the Clown akifanya vituvyake vya maajabu pamoja na kuchekesha watu waliohudhiria katika tukio hilo.

Ndugu jama na marafiki waliokusanyika kumuangalia  Bibi Mandy the Clown akifanya vitu vyake.


Kama kawaida yao ndugu zetu wakiserebuka na nyimbo ya R. Kelly kibao Step In The Name Of Love

Mwanaharakati na Cheif wa swahilivilaa Abou Shatry akiwa ndani ya gari la Police wa  Hyattsville's Prince George's Police katika sherehe za National Night Out event zilizofanyika takriban mchi nzima.

Officer akikufanya dola moja moja kwa michezo ya kitoto iliofanyika katika sherehe hizo
Cheif wa swahilivilaa Abou Shatry akiwa akiwa  na Officer  Green  ambae ni Polisi wa Prince George's

Prince George's Police wa K9 akionyesha mbwa jinsi anavyofuata amri za bosiwake mbele ya wanajumuiya waliokusanyika katika eneo hilo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>