UTOAJI WA MIMBA NI HATARI SANA KWA WANAWAKE
Utafiti mpya uliofanywa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii umeonyesha kuwa kutoboka kwa kibofu cha mkojo, kushamiri kwa kansa ya shingo ya uzazi, utasa na matatizo ya kisaikolojia kwa wanawake...
View ArticleWANAFUNZI WAWILI WAFA MAJI WAKIWINDA BATA MZINGA.
WANAFUNZI wawili wa shule ya msingi Itobo wilaya ya Nzega mkoani wa Tabora wamekufa maji katika bwawa wakati wakiwinda bata mzinga. Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi mkoani Tabora,...
View ArticleBaada ya sms kusambaa ikisema muigizaji Batuli anaumwa sana anahitaji msaada,...
Siku chache zilizopita kulikuwa na ujumbe wa sms ukisambaa kwa njia ya ku-forward ukisema kwamba muigazaji Zaytun Kibwana a.k.a Batuly anaumwa sana anahitaji msaada. Kama ilivyokawaida kwa wasanii...
View ArticleAngalia Picha za party ya Annabel mshiriki kutoka Kenya baada ya kutolewa...
Annabel katikati na wadauAnnabel akiwa na DJ HypnotiqKushoto anaitwa Shose Oyalo, Brands & PR Manager wa Multichoice Kenya na kulia ni Fridah Ndinda kutoka MNET AfricaParty is on na Annabel ndani...
View ArticleKenya yapata channel mpya ya TV ambayo wasanii watafaidika nayo kimapato.
Kampuni ya ving’amuzi ya StartTimes Kenya imeanzisha channel mpya inaitwa Triple P ambayo itakuwa inahusika na kurusha material ya entertainment tu kutoka Kenya kwa masaa 24. Triple P itapewa leseni...
View ArticleANGALIA PICHA YA JENGO REFU KULIKO YOTE DUNIANI
jengo refu kuliko yote duniani na kulitaja Sky City One ambalo bado linajengwa nchini China kama ndio jengo refu kuliko yote duniani. Baadhi ya watu wangu wa nguvu hawakukubaliana na habari ile na...
View ArticleSherehe ya National Night Out iliyofanyika Hyattsville's maryland
Ndugu jamaa na marafiki waliokusanyika kwenye sherehe ya National Night Out Iliofanyika Jana Aug 6, 2013 miitaa ya Hamilton kati ya barabara ya Queens Chapel na Road Ager Mjini Hyattsvilla...
View ArticleJuhudi za kimataifa zagonga mwamba Misri
Wajumbe wa kimataifa wakifanya mazungumzo na rais wa mpito Adly MansourRais wa mpito nchini Misri, anasema kuwa juhudi za kimataifa kutuliza mgogoro wa kisiasa nchini humo ambao ulitokana na kuondolewa...
View ArticleSafari za ndege za kimataifa zaanza tena kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa...
Sehemu ya uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta mjini Nairobi iliyoungua hapo janaSafari za ndege za Kimataifa hatimaye zimeanza tena katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta nchini Kenya...
View ArticleRAY C ASIMULIA KILICHOMFANYA AANZE KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA..LAWAMA ZOTE...
Muimbaji wa ‘Niwe Nawe Milele’ Rehema Chalamila aka Ray C jana alifanya interview ya kwanza ya TV tangu takriban miezi 10 iliyopita baada ya kujichimbia kupata matibabu ya madhara aliyokuwa amepata...
View ArticleGERVINHO AMEKAMILISHA UHAMISHO WAKE WA PAUNI MILIONI 7 KUJIUNGA NA ROMA...
Furaha ya mwisho: Msimu mgumu kwa Gervinho katika klabu ya Arsenal umefika tamati baada ya kukamilisha uhamisho kuelekea Roma.Mapema katika majira haya ya kiangazi, mchezaji mwenye rekodi ya...
View ArticleMBUNGE WA TEMEKE, MTEMVU AFUTURISHA DAR
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (kushoto) akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Segerea, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga, wakati wa kula futari iliyoandaliwa na...
View ArticleWema Sepetu kuanza kuimba na hii ni baadhi ya mistari ambayo kashaandika
Wema Sepetu miss Tanzania aliyegeuka kuwa muigizaji, ameweka wazi kwamba anataka kuimba na katika kuthibitisha hilo ameshaandika mistari kadhaa ya anachotaka kuimba. Wema alishawahi kuimba kwenye wimbo...
View ArticleExtra Bongo ilivyowatambulisha wanenguaji wao wapya Leaders
Wanenguaji wapya wa Extra Bongo, Jolie na Grace wakionyesha makeke yaoTunatomboka namuna hii ...ayaa ayaaa Mkurugenzi wa Extra Bongo, Ally Choki (mwenye kofia) akiwatambulisha wanenguaji wao wao huku...
View ArticleANGALIA MALI YA WATANZANIA INAYOWANUFAISHA WAZUNGU
WAPENDWA HII NDO MIJISU(DINAZOR) YETU ILIYOPO HUKO UJERUMANI KTK JUMBA LA MAKUMBUSHO KTK NCHI HIYO..ILIGUNDULIWA MKOA WA LINDI MIAKA HIYO..NAKAMA UNAVYOONA JAMAA WAMEKUWA WAKIFAIDIKA SANA KWA...
View ArticleMSANII AZIKWA KAMA MBWA HUKO RORYA
Huyu msanii mauti yalimkuta katikati ya Uwanja akifanya Vitu vyake katika Uwanja wa shule ya msingi Radienya iliyopo huko Rorya Mkoa wa Mara.Kwa kweli ni kifo cha kuhuzunisha sana na cha ghafla,na kwa...
View ArticleSOMO MAALUM KWA WANAWAKE WANAO TAKA KUOLEWA
Hata kama utapingana na mimi, lakini ukweli utabaki pale pale; Kila jinsia inahitaji sana kuungana na jinsia nyingine katika tendo muhimu na la kihistoria katika maisha liitwalo ndoa! Yes, huu ni...
View Article