Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

ANGALIA MALI YA WATANZANIA INAYOWANUFAISHA WAZUNGU

$
0
0

WAPENDWA HII NDO MIJISU(DINAZOR) YETU ILIYOPO HUKO UJERUMANI KTK JUMBA LA MAKUMBUSHO KTK NCHI HIYO..ILIGUNDULIWA MKOA WA LINDI MIAKA HIYO..

NAKAMA UNAVYOONA JAMAA WAMEKUWA WAKIFAIDIKA SANA KWA KULIINGIZIA PATO LA TAIFA LAO KWA MTIRIRIKO WA WATALII WANAOUZURU TAIFA LA UJERUMANI 

MIMI NINGEPENDA MH RAIS WETU MPENDWA JAKAYA MRISHO KIKWETE KWA KIPINDI HIKI AFANYE JITIHADA KUBWA YA KUILETA MIJISU YETU..KISHA MAPATO YANAYOPATIKANA HUKO GERMAN TUGAWANE KWASABABU HII NI MALIYETU SI YA WAJERUMANI...

JEE WEWE UNASEMAJE..???

Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>