AJALI MBAYA IMETOKEA LEO JIONI MAENEO YA KANYEGELE KIWIRA WILAYANI RUNGWE ENEO HILO MAALUFU KWA JINA LA UWANJA WA NDEGE LORI LILILOKUWA NA SHEHENA YA CHUPA LIKITOKEA DSM KUELEKEA NCHINI MALAWI LILIKATIKA BLEKI NA KUPAA KUINGIA MSITU NDANI YA LORI HILO KULIKUWA NA DEREVA PAMOJA NA TINGO WAKE MASHUHUDA WA AJALI HIYO WAMESEMA HUWENDA MMOJA AMEFARIKI ILA MWINGINE HALI YAKE INASEMEKANA NI MBAYA
MKUU WA WILAYA RUNGE AKISIMULIWA NA MOJA WA MASHUHUDA WA AJALI HIYO
PICHA KWA HISANI YA RICHARD MCHINA RUNGWE
Habari ya tukio zima tutawaletea kesho baada ya kupata taarifa iliyokamilika