Magufuli Akumbwa na Kashfa Nzito! .......... Ripoti kamili hii hapa
Hii imetoka kwenye hotuba ya kambi ya upinzani. Sehemu hii inaonyesha ubadhirifu wa fedha kwenye wizara iliyooko chini ya Dr John Pombe Magufuli.Mheshimiwa Spika,baada ya fedha hizi kupunguzwa kiasi...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA MWENYEKITI WA DIRECT AID CHARITY ORGANISATION YA KUWAIT
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na Dkt.Abdul RahmanAl Muhailan ambaye ni mwenyekiti wa asasi ya Direct AID Charity Organisation leo (picha...
View ArticleMKUTANO WA KAMATI YA UCHUNGUZI WA MAHESABU YA SERIKALI PAC NA WADAU WAKE
Mwenyekiti wa Kamati ya kuchunguza hesabu za Serikali (P.A.C) Omar Ali Shehe akizungumza na wadau mbalimbali wakiwemo wandishi wa habari kwa lengo la kupata ushirikino na ufanisi katika utendaji wa...
View ArticleBODI YA UTALII YATANGAZA ONESHO LAKE JIPYA LA SWAHILI INTERNATIONAL TOURISM...
BODI YA UTALII TANZANIA (TTB) IMELITANGAZA ONESHO LAKE LAKE JIPYA LA UTALII LIJULIKANAO KAMA (SWAHILI INTERNATIONAL TOURISM EXPO (SITE), KWA WADAU WA UTALII KATIKA MAONESHO YA INDABA YANAYOTARAJIWA...
View ArticleMAAJABU SABA KUHUSU MWANAUME ALIYELAZWA KWENYE WODI YA WANAWAKE KATIKA...
Karina Mohamed 'Natalia' akiwa katika hospitali ya Amana. MAAJABU zaidi yamebainika kuhusu kijana wa kiume, Karina Mohamed ‘Natalia’, 20, aliyelazwa wodi ya wanawake akidhaniwa ni mwanamke.Karina,...
View ArticleAJALI TENA WILAYANI RUGWE MKOANI MBEYA JIONI YA LEO MMOJA AHOFIWA KUFA...
AJALI MBAYA IMETOKEA LEO JIONI MAENEO YA KANYEGELE KIWIRA WILAYANI RUNGWE ENEO HILO MAALUFU KWA JINA LA UWANJA WA NDEGE LORI LILILOKUWA NA SHEHENA YA CHUPA LIKITOKEA DSM KUELEKEA NCHINI MALAWI...
View ArticleMCHUMBA WANGU ANATEMBEA NA LECTURER WAKE
Mimi ni kijana wa kitanzania, najitokeza hapa mbele yenu kuomba ushauri kwa haya makubwa yaliyonikuta.Nilianza chuo miaka mitatu iliyopita, nikimaanisha kwa sasa nipo mwaka wangu wa mwisho katika hii...
View ArticleMtoto wa miaka 3 auawa kwa kushambuliwa na nyuki mkoani Singida.
Kamanda mpya wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP. Geofrey Kamwela akitoa taarifa kwa waandishi wa habari (hawapo kwenye picha) juu ya watu wawili kufariki dunia katika matukio tofauti likiwemo la...
View ArticleUNESCO yaendesha warsha ya siku moja kujadili Ripoti ya hali ya Elimu na afya...
Mwenyekiti wa TACAIDS Dk. Fatma Mrisho (katikati) akizungumza wakati kufungua warsha siku moja ya mapitio na uhakikisho wa Ripoti ya hali ya Elimu na afya kuhusu ya Maambukizi ya Ukimwi na Mahusiano ya...
View ArticleMkurugenzi wa ILO Tanzania atembelea vikundi vya jamii vinavyonufaika na...
Mkurugenzi wa Shirika la Kazi Kanda ya Afrika Mashariki nchini Tanzania (ILO) Bw. Alexio Musindo akikagua kinywaji aina ya ‘paw paw wine’ na mkononi akiwa ameshika matunda aina ya ‘rozela’...
View ArticleWanywaji wa Viroba wapiga mkwara vikipigwa marufuku watarudi kunywa gongo.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara, wakiangalia uzalishaji walipotembelea kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), Dar es Salaam hivi karibuni.Na Mwandishi...
View ArticleUBOVU WA BARABARA KUU YA KILOMBERO-IFARAKA-MAHENGE NA,ULANGA WANANCHI WAIJIA...
Hii ndio barabara kuu inayotoka Kilombero kuelekea lfaraka,Mahenge na Ulanga,eneo hili limekuwa kero kubwa kwa wasafiri wanaotumia barabra hiyo,WANANACHI wanautumia barabara kuu ya kilombero,kuelekea...
View ArticleKIKWETE TUTAICHUKIA CCM KWA SABABU WANANCHI NA SERIKALI HATUNA TAARIFA SAHIHI
Rais Jakaya KikweteUBORA wa Taifa lolote lile hutegemea ubora wa mawazo ya watu wanaounda Taifa hilo pamoja na nidhamu ya watu wao.Kwa kuwa mtu ni mawazo anayofikiri na jamii pia huundwa na mawazo...
View ArticleFACEBOOK UATHIRI WATU KISAIKOLOJIA-"KIVIPI SOMA HAPA"
Facebook, mitandao mingine ya kijamii pamoja na huduma ya ‘blackberry mesenger’ maarufu kama BBM huathiri watu kisaikolojia, husababisha ndoa kuvunjika pamoja na usaliti katika uhusiano, wanasayansi...
View ArticleMKUTANO WA MAJESHI YA POLISI KUSINI MWA AFRIKA SARPCCO WAFANYIKA LEO
Baadhi ya Wakuu wa Majeshi ya Polisi kutoka nchi za SADC wakiimba wimbo wa umoja huo katika mkutano wa mwaka wa kumi na nane wa shirikisho la Wakuu wa polisi kusini mwa Afrika (SARPCCO) unaofanyika...
View ArticleANGALIA PICHA ZA JACKLINE WOLPER NA STAILI MPYA YA NYWELE
Siku za hivi karibuni actress Jackline Wolper ameonekana na style mpya ya nywele ikiwa kawaida yake kwa fashion icon huyo wa Swahiliwood kubadilikabadilika katika mitindo yake ya nywele na nguo. Leo...
View ArticleWATAALAM WA KUKABILIANA NA MAJANGA WAKUTANA
Viongozi wa serikali ya Tanzania na Marekani, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Shamsi Vuai Nahodha (kushoto) na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Alfonso Lenhardt (kulia) wakionyesha...
View ArticleTAPELI ALIYEKUWA AKITUMIA JINA LA RAFIKIELIMU AKAMATWA NJOMBE.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe ACP Fulgency Ngonyani amesema Mitandao ya simu imefanikisha kumkamata Tapeli huyo.ALIYEKUWA AKITAPELI WATU MTANDAONI KWA JINA LA RAFIKIELIMU AJULIKANA.ALIYEKUWA...
View ArticleHIKI NDO KIASI ALICHOINGIZA MWANA FA KWA KUUZA RBT, KWELI HIP HOP INAUZA
Somebody please tell Madee kuwa hip hop inauza. Kwa mujibu wa Mwana FA mwenyewe ambaye leo ameachia wimbo wake mpya, Kama Zamani, hivi karibuni alipokea malipo ya miezi mitatu kutoka kampuni moja ya...
View Article