
Staa wa bongo kupitia bongo fleva amekanusha uvumi kuwa yeye atahama nchi yake na hichi ndicho alicho kiandika kupitia ukurasa wake wa twitter

''Hivi watu huwa hawajui kutofautisha masihara na ukweli eti? Sasa nihame nchi kwa kumuogopa nani? hahami mtu hapa''
Kuna muda pesa tu ndio inaongea sijui nihamie Kenya nikaombe uraia huko? Au Malawi labda, mtanifuata?