IKULU YAKANUSHA KUHUSU RAIS KIKWETE KUONGEZEWA MUDA WA KUKAA MADARAKANI
Mwenyekiti wa Chama cha CUF, Mheshimiwa Profesa Ibrahim Lipumba amekaririwa na Gazeti la Mwananchi la leo, Jumatano, Mei 15, 2013 akisema kuwa “amenasa taarifa za siri za kuwepo kwa mipango ya kuongeza...
View ArticleSISTER WA BANDIA, MTUMISHI WA MAHAKAMA WAKAMATWA KWA MATUKIO TOFAUTI
Mwanamke - anayejiita Sister Phylis Wanjiru Kamau, raia wa Kitui nchini Kenya akiwa ofisi za kamanda wa jeshi la Polisi mkoa wa Iringa, baada ya kukamatwaTaarifa za kipolisi, za kukamatwa kwa Sister...
View ArticleJAJI WARIOBA: JUKWAA LA KATIBA RUKSA KWENDA MAHAKAMANI
Tume ya Mabadiliko ya Katiba imesema haimzuii mwananchi, asasi au taasisi yoyote kufungua kesiMahakamani kupinga au kuzuia mchakato unaoendelea wa Katiba Mpya.Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Joseph...
View ArticleTWEET MBILI ZA MWANADADA LADY JAY DEE AKIKANUSHA UVUMI WA YEYE KUHAMA...
Staa wa bongo kupitia bongo fleva amekanusha uvumi kuwa yeye atahama nchi yake na hichi ndicho alicho kiandika kupitia ukurasa wake wa twitter Lady JayDee @JideJaydee ''Hivi watu huwa hawajui...
View ArticleASKOFU MKUU NORBERT MTEGA AKUBALIWA KUSTAAFU
BABA Mtakatifu Francis, amekubali ombi la Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Songea, Norbert Mtega (68),pichani, kustaafu katika utume wa kuongoza jimbo hilo.Taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari na...
View ArticleKUTOKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO
Waziri wa Viwanda na Biashara,Dr. Abdallah Kigoda akiwasilisha bajeti ya Wizara yake Bungeni Mjini Dodonoma May 15,2013. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema , Godbless...
View ArticleMke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Asha Balozi na Wake wa Wabunge...
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akimkabidhi mifuko ya saraju na fedha tasilim Katibu wa Halmashauri ya Tawi hilo Mussa Nyange, kwa ajili ya kumalizia...
View ArticleKAJALA KUIGIZA FILAMU YA MAISHA YAKE HALISI SEGEREA, APONGEZWA NA KUPONDWA.
News is that actress Kajala Masanja anatarajia kucheza katika filamu ambayo itaelezea maisha yake halisi ya kesi yake iliyokuwa ikimkabili. filamu hiyo itaelezea tangu mwazo wa issue hilo, mahakamani,...
View ArticleUN YATAHADHARISHA AFRIKA KUWA KITOVU CHA UGAIDI
Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi (kulia) akizungumza wakati wa majadiliano ya wazi ya Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa,...
View ArticleJumuiya za CCM kuwajengea uwezo vijana kujinasua na hali ngumu ya kimaisha
Baadhi ya Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali walioshiriki katika Mkutano wa Jumuiya za UVCCM, UWT na Wazee. Mkutano huo uliofanyika Makao Makuu ya CCM Zanzibar Kisiwandui. Mwandishi wa...
View ArticlePSPF YANG'ARA KATIKA WIKI YA HIFADHI YA JAMII DODOMA
Waziri wa Kazi na Ajira Mhe. Gaudentia Kabaka akifungua rasmi semina ya waandishi wa habari iliyoandaliwa na SSRA na Mifuko ya Hifadhi ya jamii Mkurugenzi Mkuu wa SSRA BI Irene Isaka akijibu baadhi...
View ArticleJaji Warioba: Jukwaa la Katiba Ruksa kwenda Mahakamani
Na Mwandishi WetuTume ya Mabadiliko ya Katiba imesema haimzuii mwananchi, asasi au taasisi yoyote kufungua kesi Mahakamani kupinga au kuzuia mchakato unaoendelea wa Katiba Mpya.Mwenyekiti wa Tume...
View ArticleALIYEJERUHIWA NA BOMU KANISANI ARUSHA APOTEZA JICHO!!
Mfanyabiashara Apolnary Malamsha (33) wa Arusha ambaye jicho lake limepata hitilafu baada ya kutobolewa na chuma cha bomu wiki mbili zilizopita akiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili jana( Picha na...
View ArticleWaziri Fatma Ferej, Waziri Juma Duni na Waziri Teresiya Wafika Bandarini...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Fatma Ferej (kushoto)Waziri waNchi Ofisi ya Rais inayoshughulikia Mazingira Tanzania Bara Mhe Teresiya Havisa, waiwasili katika viwanja...
View ArticleRAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE ATEMBELEA VIWANDA VYA BIDCO OIL NA AZAM BUGURUNI
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na wadau wa lishe bora kutoka mashirika mbalimbali ya kimataifa wakizindua mpango wa kuweka virutubisho vya lishe bora katika bidhaa za unga na mafuta nchini...
View ArticleANGALIA PICHA ZA UBINGWA WA CHELSEA
RESPECT to ChelseaIvanovic Benfica 1-2 CHELSEAHit LIKE for Fernando TorresTORRESSSSS!!!!! Benfica 0-1 CHELSEAHow many likes? Ivanovic ♥Eusebio, Platini and Cruyff at Amsterdam Arena. #LEGENDS
View Article