Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

MREMBO BELLA AWATOLEA POVU KINA WOLPER,

$
0
0
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Issabela Mpanda au Bella Fasta amewatolea povu wasanii wenzake wa kike wenye tabia ya kupenda kuwa kwenye mahusiano na wanaume wanaowazidi umri
na kuwaambia kuwa hawajielewi
Bella Fasta amesema wasanii hao wanapenda ku 'fake' maisha, na ndipo wanapoangukia kwenye mambo ya kutia aibu, licha ya matukio mbalimbali  waliyoipitia kwenye mahusiano yao siku za nyuma.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>