R.O.M.A AREJEA KUTOKA ZIMBABWE AAHIDI KUFUNGUKA KUHUSU WIMBO WAKE
Msanii wa muziki wa Hip Hop nchini Tanzania, Roma Mkatoliki amewasili jana usiku akitokea nchini Zimbabwe alikoenda kikazi.Roma Mkatoliki ambaye ameachia wimbo wake mpya wa Zimbabwe wiki iliyopita...
View ArticleMREMBO LULU DIVA AFUNGUKA HAYA KUHUSU NANDY NA VANESSA
Staa Lulu Diva kutoka Bongoflevani amekaa na kuelezea mapokezi makubwa ambayo hakuyategemea.Mbali na kuelezea tour yake hiyo Lulu Diva amezungumzia pia uwezo wa baadhi ya waimbaji wa kike wa Bongofleva...
View ArticleMSANII MADEE AFUNGUKA DIAMONDI ALIVYOSAIDIA KOLABO YAKE NA TEKNO
Msanii Madee amebainisha kuwa Diamond Platnumz anahusika kufanikisha kolabo yake na Tekno.Madee amesema haikuwa ngumu sana kumpata muibaji huyo kutoka Nigeria na pia si yeye aliyeangaikia kolabo hiyo...
View ArticleVIGOGO WENGINE MAHAKAMANI KWA UFISADI
Vigogo sita kati ya 12 wanaotuhumiwa kuhusika kwenye kashifa ya ufisadi wa soko la Kimataifa la Mwanjelwa jijini Mbeya wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani Mbeya na kusomewa...
View ArticleSTAA ALIKIBA AWAACHA NJIA PANDA MASHABIKI WAKE
Mkali wa sauti na mwenye 'hit song' ya 'Aje', Alikiba amewaacha njia panda watu wake wa karibu pamoja na mashabiki wa kazi zake baada ya yeye kuweka picha katika mtandao wake wa Instagram ukiwa na neno...
View ArticleIDADI YA WALIOFARIKI KWENYE MAFURIKO SIERA LEONE YAFIKIA 300
Sierra Leone imeingia kwenye headlines mbalimbali duniani baada ya kuingia kwenye maombolezo makubwa kufuatia maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyonyesha kwa siku tatu katika Mji...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA UJENZI UCHUKUZI NA MAWASILIANO ATEMBELEA TEMESA
Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani katikati (aliyevaa suti) akimsikiliza Mkuu wa Kivuko/ Magogoni Kigamboni Mhandisi Lukombe King’ombe wakati akimpa taarifa ndani ya...
View ArticleWAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI MALAWI
Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Mheshimiwa Balozi Benedict Mashiba wakati alipokutana naye Ofisini kwake Magogoni jijini Dar es salaam leo Jumatano,(...
View ArticleTAARIFA KUHUSU KUKAMATWA RAPPER CHID BENZ AKIWA NA DAWA ZA KULEVYA
Moja ya taarifa kubwa inayosambaa kwenye mitandao tangu tangu jana ni hii inayomuhusu Rapa Chid Benz na wenzake Sita kukamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala wakiwa na dawa za kulevya baada...
View ArticleWAZIRI MKUUKASSIM MAJALIWA AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI MALAWI
Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Mheshimiwa Balozi Benedict Mashiba wakati alipokutana naye Ofisini kwake Magogoni jijini Dar es salaam leo Jumatano,...
View ArticleUAMUZI WABUNGE WALIOFUKUZWA CUF AGOSTI 25
Wabunge waliofukuzwa CUF wakiwa kortini.MHAKAMA Kuu imeahirisha kutoa hukumu juu ya pingamizi lililowasilishwa na wabunge wanane wa Viti Maalum wa CUF kupinga Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
View ArticleIDADI YA WALIOFARIKI KWENYE MAFURIKO SIERA LEONE YAFIKIA 300
Sierra Leone imeingia kwenye headlines mbalimbali duniani baada ya kuingia kwenye maombolezo makubwa kufuatia maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyonyesha kwa siku tatu katika Mji...
View ArticleRATIBA YA MAPOKEZI YA MAJERUHI WA LUCKY VICENT
Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ametoa ratiba ya majeruhi wa shule ya Lucky Vicent ya jijini Arusha ambao walikuwa nchini Marekani kimatibabu kufuatia ajali walioipata.Mhe. Nyarandu...
View ArticleWAWILI KIZIMBANI KWA WIZI WA MAFUTA YA MAWESE NA SABUNI.
WAFANYABIASHARA wawili wakazi wa Kimara jijini Dar es Salaam, Jumbo Cheto(39) na Anna Kilawe (43) leo wamepandishwa katika kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka ya...
View ArticleCHID BENZ AWEKWA CHINI YA UANGALIZI NA MAHAKAMA KWA KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA.
Mahakama ya Wilaya ya Ilala imewaweka chini ya uangalizi kwa kipindi cha miaka miwili Msanii wa Bongofleva Rashid Abdalah maarufu Chidbenzi na wenzake watano baada ya upande wa mashtaka kuwasilisha...
View ArticleBREAKING NEWS: RAILA ODINGA KUTINGA MAHAKAMANI KUPINGA MATOKEO YA URAIS...
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga ametangaza kwamba muungano wake wa National Super Alliance (NASA) utawasilisha kesi mahakamani kupinga ushindi wa Rais mteule Uhuru Kenyatta katika...
View ArticleMREMBO DAYNA NYANGE AAMUA KUMJIBU SHILOLE
Msanii wa Bongo Flava, Dayna Nyange amesema hakuna msanii ambaye anaweza kufanya kitu na kuweza kuwapoteza wasanii wengine.Kauli hiyo ni jibu kwa Shilole ambaye wakati anakaribia kutoa wimbo ‘Kigori’...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ZIARANI NCHINI CUBA
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo (Jumatano, Agosti 16, 2017) kuelekea nchini Cuba kwa ajili ya ziara ya kikazi yenye lengo la kudumisha ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.Akiwa...
View ArticleMREMBO BELLA AWATOLEA POVU KINA WOLPER,
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Issabela Mpanda au Bella Fasta amewatolea povu wasanii wenzake wa kike wenye tabia ya kupenda kuwa kwenye mahusiano na wanaume wanaowazidi umrina kuwaambia kuwa...
View Article